Wazazi waliotokana na malezi bora (fimbo mkononi,kulazwa njaa nje nje yaani ilikuwa hakuna uhakika wa kumaliza siku bila kupigwa,shule ipo 13Kms weekends shamba kulima etc) leo wanazaa kizazi lege lege.
Shule ipo 1½km wanapandishwa mabasi,hawagusi fimbo si shuleni si nyumbani,wengine hata kufua nguo za za ndani hawawezi,home kuna access zote za kujua yanayoendelea duniani sasa sijui tunaofanya hivi tuna akili gani?tukumbuke tunakaza kutafuta sana hela kuwafurahisha watoto zetu kwa sababu ya uimara tuliopewa kupitia hatua nilizoorodhesha pale juu sasa hawa wa kwetu wataweza kweli kwa malezi tunayowapa?