mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU AHANI MSIBA WA BABA MZAZI WA IGP CAMILLUS WAMBURA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026 amehani msiba wa Deusdedit Mwita Wambura ambaye ni Baba Mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam Oktoba 24, 2026.
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi. Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine

    Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine. Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu. Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Huyu mzazi wangu Anakosa msaada Kwa sababu ya usanii wa kipuuzi

    Yupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni...
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kwanini pale unapomuambia mzazi wako mchumba wako wa kike ni mjita, mkerewe, mmachame, mnyantuzu au mswahili wa pwani lazima sura imshuke

    Nini iko mbaya.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali; mzazi anayetaka na kudai matunzo ya mtoto asikae na Mtoto. Full stop!

    SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama. Huruma sio malezi. Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa. Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mzazi amzawadia mwanae Sungura kwenye Mahafali ya Kidato cha Nne

    Mzazi Daniel Kapangala amemzawadia mwanae sungura wawili ambao ni jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Tembela iliyopo Kata ya Itewe, Halmashauri ya Mbeya, Shule hiyo inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  9. 1

    JamiiForums Tanzania “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wako anasoma CBC? Fahamu madarasa, mitihani, gharama na nafasi yako kama mzazi.

    Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC). Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
  12. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Ewe Mzazi somesha ila andaa mpango mbadala kwa ajili ya mwanao, akikosa ajira mpango mbadala utamuokoa

    Ewe Mzazi Somesha mtoto kwa gharama Nursery lipa ada (mwaka 1) Primary lipa ada (miaka 6) Secondary lipa ada (miaka 4) A-level lipa ada ( miaka 2) Chuo lipa Ada (miaka 3) Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m Jumla ya miaka ni 16 Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi umefunga wifi nyumbani na unaruhusu watoto waitumie bila mipaka, unasubiri kuvuna ulichopanda ?

    Hongera kwa kufunga wifi lakini umewahi kuwaza matumizi yake kwa hao watoto wako wanaoitumia ?
  14. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  16. Chancel Mbemba

    JamiiForums Tanzania Hospitali nzuri ya private ambayo mzazi anaweza kujifungulia chanika Dar

    Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
  17. Mjinga_Ndo_Najifunza

    JamiiForums Tanzania Mwanamke nimezaa nae lakini anakata na kuyaunga mawasiliano anavyotaka yeye je hii sawa kwa mzazi wa kiumbe?

    Mimi nimezaa na mwanamke mtoto mmoja nikawa nahudumia bila shida yoyote aidha kwa kuambiwa au kwa kujiongeza mwenyewe mara kadha wa kadha alikuwa anakata mawasiliano yaani huambiwi chochote kuhusu mtoto yaani iwe mahitaji au afya ya mtoto baada ya muda kadhaa(miezi) anakutafuta ndo unapata...
  18. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  19. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa baraka za wazazi au laana ya mzazi na hakuna kitu kinaitwa karma zote hizi ni nadharia za kutiana moyo

    Hakuna kitu kinaitwa baraka za wazazi au laana ya mzazi na hakuna kitu kinaitwa karma zote hizi ni nadharia za kutiana moyo
  20. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari wamegoma kupokea maagizo ya wizara ya elimu, waendeleza unyanyasaji kwa mwanafunzi na mzazi wake

    Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi. UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
Back
Top Bottom