Ewe Mzazi somesha ila andaa mpango mbadala kwa ajili ya mwanao, akikosa ajira mpango mbadala utamuokoa

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,629
Reaction score
13,551
Ewe Mzazi
Somesha mtoto kwa gharama
Nursery lipa ada (mwaka 1)
Primary lipa ada (miaka 6)
Secondary lipa ada (miaka 4)
A-level lipa ada ( miaka 2)
Chuo lipa Ada (miaka 3)
Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m
Jumla ya miaka ni 16
Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m imeenda kuna wengine mpaka mtoto anamaliza elimu imeenda kuanzia 50m hadi 65m. Wale wanaosomesha Cambridge syllabus mtoto anamaliza elimu 50m hadi 160m na Cambridge za kimataifa na vyuo vya nje inaendaga (shule ada ni 25m hadi 50m) 400m hadi 950m. Huwezi kusomesha mwanao kwa gharama zote hizi aje kulipwa kwa mwezi mshahara usio na koma mbili angalau 1m hadi 6m kwa mwezi. Na watu wa Cambridge syllabus mtoto anamaliza elimu analipwa chini ya USD 3000 hadi usd 30,000 na zaidi.

Kisha mwanao akimaliza elimu akose kazi, au apate kazi za mshahara mdogo.
Wewe kama mzazi hakikisha umejipanga.

1. Uwe na connection za uhakika za mwanao kupata kazi.

2. Uwe na connection za uhakika za mwanao kupata nafasi ya kisiasa.

3. Uwe na connection za uhakika za mwanao za kibiashara kwenye biashara unazomiliki wewe mzazi.

4. Uwe na pesa au kitu kinachoweza kugeuzwa kuwa hela mwanao akimaliza elimu pawe na mtaji aanze biashara. Tunza hela kama kiwanja, nyumba, hisa za nmb au crdb, weka kwenye utt zikae huko zizae. Mtoto wako akimaliza elimu akikaa mwaka mmoja masuala ya kazi hayaeleweki mwambie alete proposal yake ambayo utakuwa 10% au 20% ya pesa uliyomtunzia kama mtaji ili aanze. Kama umefanikiwa kumtunzia 50m kwa miaka 16, mwambie aje na proposal yake ya 5m au 10m kwanza.

Hali ni mbaya sana. Wewe kama mzazi ujipange mapema. Ukosefu wa ajira ni suala lako wewe mzazi. Masuala ya elimu ni urithi huo ni ushamba. Na hii Artificial intelligence (AI) inachukua kazi za watu sana na hata maroboti yatachukua kazi za watu, huko mbele sio kuzuri.

Unapoona watoto wa kiarabu au wakihindi wana biashara za mabilioni na matrilioni maana yake wazazi wao na wanaukoo walijipanga muda mrefu.

Usione vyaelea, vimeundwa.

Nimefoward na kuboresha idea ya mtu wa Instagram anaitwa Mwalimu John Magoda.
Foward kwa wazazi wote wapate ujumbe huu.
 
Una akili ndogo sana,kama unasomesha mtoto hili aje apate ajira wewe na huyo mtoto elimu haita wakomboa..

Peleka mtoto shule akajifunze elimu na stadi,sio vocational tu bali stadi za maisha like ubunifu,uchambuzi (critical thinking)mahusiano,.

Mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo,ajira itakua wazo lake la mwisho,but wewe umeweka kama ndio crucial purpose ya Elimu
 
Duh! Siku ukija kuwa na mtoto au mjukuu ndio utaelewa. Mimi kwa sasa ni mtu mzima sana. Ninaona jinsi watu wazima wenzangu wanavyo hangaika.
 
Unafikiri tatizo ni ufinyu wa ajira au aina ya elimu ya watoto waliopata?
Ukweli ni kuna ukosefu wa ajira. Je una mtoto mwenye miaka 25 au zaidi ya hapo 35+ na hana kazi ya kueleweka? Au una rafiki yako mtu mzima mwenye mtoto mwenye miaka 25+ na hana kazi? Ushawahi kuzungumza nae akakuelezea machungu yake, watu wazima wengi hatupendi kuzungumza machungu yetu tunayaficha.
 
Wewe unaeleza tatizo ambalo lishatokea,mimi nataka tujadili chanzo hili tujue namna gani ya kukabiliana na tatizo,au haupo tayari kujadili hilo??
 
Ewe Mzazi
Somesha mtoto kwa gharama
Nursery lipa ada (mwaka 1)
Primary lipa ada (miaka 6)
Secondary lipa ada (miaka 4)
A-level lipa ada ( miaka 2)
Chuo lipa Ada (miaka 3)
Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m
Jumla ya miaka ni 16
Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m imeenda kuna wengine mpaka mtoto anamaliza elimu imeenda kuanzia 50m hadi 65m. Wale wanaosomesha Cambridge syllabus mtoto anamaliza elimu 50m hadi 160m na Cambridge za kimataifa na vyuo vya nje inaendaga (shule ada ni 25m hadi 50m) 400m hadi 950m. Huwezi kusomesha mwanao kwa gharama zote hizi aje kulipwa kwa mwezi mshahara usio na koma mbili angalau 1m hadi 6m kwa mwezi. Na watu wa Cambridge syllabus mtoto anamaliza elimu analipwa chini ya USD 3000 hadi usd 30,000 na zaidi.

Kisha mwanao akimaliza elimu akose kazi, au apate kazi za mshahara mdogo.
Wewe kama mzazi hakikisha umejipanga.

1. Uwe na connection za uhakika za mwanao kupata kazi.

2. Uwe na connection za uhakika za mwanao kupata nafasi ya kisiasa.

3. Uwe na connection za uhakika za mwanao za kibiashara kwenye biashara unazomiliki wewe mzazi.

4. Uwe na pesa au kitu kinachoweza kugeuzwa kuwa hela mwanao akimaliza elimu pawe na mtaji aanze biashara. Tunza hela kama kiwanja, nyumba, hisa za nmb au crdb, weka kwenye utt zikae huko zizae. Mtoto wako akimaliza elimu akikaa mwaka mmoja masuala ya kazi hayaeleweki mwambie alete proposal yake ambayo utakuwa 10% au 20% ya pesa uliyomtunzia kama mtaji ili aanze. Kama umefanikiwa kumtunzia 50m kwa miaka 16, mwambie aje na proposal yake ya 5m au 10m kwanza.

Hali ni mbaya sana. Wewe kama mzazi ujipange mapema. Ukosefu wa ajira ni suala lako wewe mzazi. Masuala ya elimu ni urithi huo ni ushamba. Na hii Artificial intelligence (AI) inachukua kazi za watu sana na hata maroboti yatachukua kazi za watu, huko mbele sio kuzuri.

Unapoona watoto wa kiarabu au wakihindi wana biashara za mabilioni na matrilioni maana yake wazazi wao na wanaukoo walijipanga muda mrefu.

Usione vyaelea, vimeundwa.

Nimefoward na kuboresha idea ya mtu wa Instagram anaitwa Mwalimu John Magoda.
Foward kwa wazazi wote wapate ujumbe huu.
Kabwela unawashUri matajiri
 
Suala la kukosa ajira lipo mpaka kwa hao wanao tumia Cambridge syllabus huko kwa Trump.

Pili, Hiwezi kumua dalia mtoto mazingira leo unless you are super RICH, wewe unajua business trends zitakazo kua sokoni 20yrs from now?

Tusomeshe watoto wawe critical thinker tu, mengine wata jitafutia wenyewe huko.

Shule haikupi vyeti tu, kama una akili unapata connection na exposure nzuri sana ukiwa University
 
Ok
 
Back
Top Bottom