Ewe Mzazi somesha ila andaa mpango mbadala kwa ajili ya mwanao, akikosa ajira mpango mbadala utamuokoa

Ewe Mzazi somesha ila andaa mpango mbadala kwa ajili ya mwanao, akikosa ajira mpango mbadala utamuokoa

Suala la kukosa ajira lipo mpaka kwa hao wanao tumia Cambridge syllabus huko kwa Trump.

Pili, Hiwezi kumua dalia mtoto mazingira leo unless you are super RICH, wewe unajua business trends zitakazo kua sokoni 20yrs from now?

Tusomeshe watoto wawe critical thinker tu, mengine wata jitafutia wenyewe huko.

Shule haikupi vyeti tu, kama una akili unapata connection na exposure nzuri sana ukiwa University

Ajira hazipatikani hata kwa waliosoma Havard na wao wanateseka

Screenshot_20260929_104308_Samsung Browser.jpg
 
Back
Top Bottom