Hospitali nzuri ya private ambayo mzazi anaweza kujifungulia chanika Dar

Hospitali nzuri ya private ambayo mzazi anaweza kujifungulia chanika Dar

Chancel Mbemba

Senior Member
Joined
Aug 15, 2025
Posts
109
Reaction score
121
Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
 
Kuna Moja iko maeneo ya kwa Zoo hapo unaingia mkono wa kulia kama unaenda kule kwa masister nayo nzuri
 
Back
Top Bottom