Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine

Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
7,009
Reaction score
25,406
Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine.

Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu.

Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa ombaomba kwao. Mama aliugua, wote wakakaa pembeni hawataki kabisa kushiriki kwenye matibabu ya yake. wanamuambia " mwambie kijana wako ana kazi" as if wao sio vijana wake.
 
Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine.

Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu.

Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa ombaomba kwao. Mama aliugua, wote wakakaa pembeni hawataki kabisa kushiriki kwenye matibabu ya yake. wanamuambia "kijana ana kazi" as if wao sio vijana wake.
Wablock wote, kwani shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom