Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
- Thread starter
- #21
ni kweliitakua umefanana sana na upande wa baba alf yeye hapatani nao
ni kweliitakua umefanana sana na upande wa baba alf yeye hapatani nao
kweli kabisaHamia mbali!
Pole sana MkuuNaumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine.
Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu.
Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa ombaomba kwao. Mama aliugua, wote wakakaa pembeni hawataki kabisa kushiriki kwenye matibabu ya yake. wanamuambia " mwambie kijana wako ana kazi" as if wao sio vijana wake.
ahsantePole sana Mkuu
Ujinga tuni mambo ya Waafrika
Kwasababu walitangulia kuliona jua kwahiyo hawawezi kujishusha na Wana msemo wao unaowapa kiburi👉 "mzazi hakosei"Hivi kwanini almost wazazi huwa wanajiona wako sahihi kwa kila jambo?
Ikitokea umewapinga au kuwaelekeza unaonekana huna adabu, unawapangia , huna heshima?
Sasa mbona na wewe unaleta umbeya? Naona mama na mtoto Ngoma drooo.Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine.
Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu.
Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa ombaomba kwao. Mama aliugua, wote wakakaa pembeni hawataki kabisa kushiriki kwenye matibabu ya yake. wanamuambia " mwambie kijana wako ana kazi" as if wao sio vijana wake.
acha bangiSasa mbona na wewe unaleta umbeya? Naona mama na mtoto Ngoma drooo.
tatizo lako ni MIZINGA!!Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine.
Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu.
Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa ombaomba kwao. Mama aliugua, wote wakakaa pembeni hawataki kabisa kushiriki kwenye matibabu ya yake. wanamuambia " mwambie kijana wako ana kazi" as if wao sio vijana wake.
hatufahamiani humuKwan ww kwenye ukoo wako akuna wazee au watu wenye busara uwashirikishe haya mambo yako maana hizi ni mambo ya ndani za kifamilia na njia nzuri ya kutatua migogoro kama hii nikwa kushirikisha ndugu na jamaa wa familia
Acha kureta habari za familia kwa jukwaa kama JF huto pata msaada wwte maana hatukujui wala hatujui stuation ya familia yako wala atujui nani anaongea ukwel ww au mama yako
Pia kua na heshima kwa Mama yako
Hivi kwanini almost wazazi huwa wanajiona wako sahihi kwa kila jambo?
Ikitokea umewapinga au kuwaelekeza unaonekana huna adabu, unawapangia , huna heshima?
Hili nilishawahi kulielezea.
Kata mawasiliano. Kaa mbali. Kaa sehemu wasioijua.
Hiyo ni baada ya wewe kushindwa kuongea ukweli wote. Kuepuka kuwakwanza.
Lakini kama ingekuwa mimi, ningezungumza nao kinagaubaga. Kuchora mpaka na kueleweka vizuri tuu
Haijalishi, ila hayo mambo ya familia kuyaleta jukwaani ni ukosefu wa tabia njema.tunatumia anonymity. hunijui, sikujui