wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima , wengine ukiwapenda wanakuzawadia dharau

    Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima . Wengine ukiwafanyia hivo wanakuzawadia dharau , chagua watu wakuwaheshimu na watu wakuwapenda .
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tambua Harusi yako ni ratiba yako sio ya watu wengine , usikasirike mtu asipohudhuria

    https://www.instagram.com/reel/DfMCitbtkdX/?dlrf=Y2prNXZxcGthb3J2
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

    Since a kid, used to feel like an outsider. Baada ya kujaribu ku fit in, naona imegoma kabisa. Unafanya kazi, mifumo inakufanya soul yako ijihisi kama iko kifungoni. Unajaribu kukaza, una burn out, ila utafanya je sasa, na hauja zaliwa na kuna MO, bakhresa? Kweli, the system wasn't...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kaa ukijua malipo yapo. Unavyowatesa wengine yatakurudia wewe, na yasipokupata, kizazi chako hakitapata amani kikikutana na kizazi cha uliowatesa

    Kaa ukijua kuwa malipo yapo duniani. Unavyowatesa wengine leo, kuna siku unaweza kukutana na matokeo ya matendo yako. Na kama wewe hutayashuhudia, huenda kizazi chako kikakutana na matokeo ya maumivu uliyowasababishia wengine. Usimdharau mtu kwa sababu leo hana nguvu ya kukulipa. Usimnyanyase...
  6. Mndewa1

    JamiiForums Tanzania Ashtakiwa na wazazi kwa kucheza mpira kuzidi watoto wengine

    https://x.com/abcworldnews/status/2115178332245598570?s=12 https://x.com/roxie_ug/status/2115080042615050247?s=12 https://x.com/mymixtapez/status/2114755768641565116?s=12 Mtoto mmoja wa umri wa miaka mitatu (3) Nevada Don Pierre wa Florida, US ameshtakiwa na wazazi wa watoto wenzake kwa...
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Hivi ulishawahi kujiuliza wengine wanafanyafanyaje wanajikuta wamezaliwa katika familia ya watu wazito na kwanini familia zingine kila mtu ni masikini na familia zingine mtu anazaliwa anakuta ana ndugu matajiri watu wenye vyeo vikubwa? Mimi najiuliza hivi wengine tulimkosea nini Mungu? Sisi...
  8. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Wasalaam Jf, Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
  9. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine

    Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine. Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu. Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa...
  10. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Katika Dunia hii ukianza kujifurahisha, na kuacha kuwafurahishwa wengine unaonekana kama umerukwa na akili, mwaka 2010 niliitwa kichaa 😅

    Mwaka 2010, nilipata funzo kuwa ukiwa umenyooka kama rula unaoneka kichaa machoni pa watu. Yako mengi niliyafanya kuninufaisha pasipo kuingilia ya wengine. Kwa mfano, mwaka ule nilikuwa ninaweza kumtongoza mwanamke, akinikubalia nalala naye, nikisharidhika hata kama ni ndani ya dakika Moja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: wengine wanasema CCM ni chama cha wazee, ila hiki ni chama cha rika zote

    "Wengine wanasema Chama cha Mapinduzi ni chama cha wazee, waambie ndiyo hiki ni chama cha wazee na rika zote na hakibagui mtu yeyote. Hawa wazee walikuwa vijana wa zamani, na walikuwa vijana machachali kuliko hata sisi. Hata mimi baada ya mika 20, 30 nitazeeka, nitaitwa mzee, uzee haukwepeki."...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
  13. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wengine wanavuna asali, wengine wanatengeneza pesa kwa kuiuza — wewe upo upande gani?

    Je, unajua kwamba unaweza kuingiza kipato kizuri kupitia biashara ya asali hata kama humiliki mzinga mmoja wa nyuki? Hebu fikiria jambo hili. Mfanyabiashara mmoja ananunua asali kutoka kwa wafugaji wa nyuki mkoani Tabora, anaichuja, anaifungasha vizuri kwenye chupa zenye lebo, kisha anaiuza...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kuna watu wanajiona wakamilifu kama wao wapo zaidi ya wengine.

    Hii tabia nimeona sana kwa watu hawa. Mtumiaji wa soda ni hakimu wa mtumiaji wa pombe. Mwenye imani tofauti na mwenzake ni adui yake. Maskini ni adui wa tajiri na tajiri ni adui wa maskini.
  16. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wameacha kabisa kwenda kuwatembelea ndugu

    Ndio . Kuna ambao kabisa wameacha kwenda kuwatembelea ndugu kama aunties, uncle n.k . Kwa sababu muda mwingine wakienda kuwatembelea hawa wajomba na mashangazi ,zile kumbukumbu za maumivu ya utotoni (childhood traumas) walizozipitia wakiwa huko kwa akina ndugu zinajirudia na kuleta Hali ya...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Unachokidharau, ndoto ya wengine

    Mahali ulikopachoka na unawaza kuacha kazi kwa notisi ya saa 24, mwingine ndio anaomba Mungu amsikie apate hapo kazi ya ndoto zake. Mpenzi unayemfanyia vituko ukitafuta kila sababu ya kuwa mbali naye msionane, mwingine hapati usingizi akimsihi Mungu ajibu maombi yake. Unapambana kutokula kwa...
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Usijilinganishe na watu wengine. Ishi maisha yako, kuwa na shukrani

    Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha. Usiji-compare na watu wengine Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho. #StressFreeZone
  19. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wajenga Viwanja, Wengine Msikiti wa Bilioni

    Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21? Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao? Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
Back
Top Bottom