Usijilinganishe na watu wengine. Ishi maisha yako, kuwa na shukrani

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha.

Usiji-compare na watu wengine
Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho.

#StressFreeZone
 
Power of gratitude 🙏🙏 shukran hufungua milango mingi sana kwenye maisha.
 
Hapa jf ukiwa hujitambui unaweza kujiona umechelewa sana aisee

Kuna mwamba mmoja katoa uzi huko, kuna demu alikuwa amuoe mlokole,mar ukweni nimewasaidia milioni 15 kulipa deni,mara sijui nimewapa mtaji,na upuuzi mwingi tu

Watu wakasogeza VAR akasomeka uzi flani sijui anataka apate kiwanja cha mkopo alipe kidogo kidogo

Humu ndani ishi kimasta
 
Yule jamaa ni mpuuzi sana nimeusoma uzi wake.

Ule uzi ni chai
 
Acha kufundisha watu uvivu..!!

Hayo maisha ya kuridhika ndo yametufikisha hapa kama taifa.!.!

Tunatakiwa kujicompare ili tuchukue hatua.
Sjafundisha watu uvivu

Point yangu ni kwamba watu waishi maisha yao halishi.

Let say wewe hapo kujicompare na alico dangote ,mo dewj , mark Zuckerberg,Elon musk eh then what next.
 
Acha kufundisha watu uvivu..!!

Hayo maisha ya kuridhika ndo yametufikisha hapa kama taifa.!.!

Tunatakiwa kujicompare ili tuchukue hatua.
Kujilinganisha katika namna chanya ya kutaka kufikia wengine kimaendeleo lakini tukiwa tunatembea na uhalisia kwamba sio Kila mtu atakua kama Kila mtu sababu kama binadamu tunaukomo unaotofautiana katika Kila kitu,lakini tusiache kujaribu . lakini ikiwa tutawaangalia wengine kwa kuwatamani na in envious way lazima ulozi, nyapu na mikundu vitahusika na maumivu yatakua makali sana

Kwako veterani Lamomy
 
Hapa jf ukiwa hujitambui unaweza kujiona umechelewa sana aisee

Kuna mwamba mmoja katoa uzi huko, kuna demu alikuwa amuoe mlokole,mar ukweni nimewasaidia milioni 15 kulipa deni,mara sijui nimewapa mtaji,na upuuzi mwingi tu

Watu wakasogeza VAR akasomeka uzi flani sijui anataka apate kiwanja cha mkopo alipe kidogo kidogo

Humu ndani ishi kimasta
Naomba huo uzi mkuu
 
Back
Top Bottom