Anza kuwalaumu wazazi wako kabla ya serikaliWewe umekurupuka haziko sawa, uwe unapitia comment kwa makini..!!
Wapi nilipokataa kufanya kazi na kutoa lawama?
Ndiomana nimekuuliza mirembe unapatikana wodi namba ngapi?
Wee dawa umekunywa kweli?Anza kuwalaumu wazazi wako kabla ya serikali
Fanya kazi a, acha lawamaWee dawa umekunywa kweli?
Niwalaumu wazazi wangu wao ni serikali?
Halafu em nitokee usiniambukize uchizi hapa..!!
Kipimo cha maendeleo kwako ni kipi!?Pita hapa
Identity crisis, subconscious stress,kuweka malengo yasiyo yako,kupuuza hatua zako ndogo ndogo za kimaendeleo au kile kidogo ulicho nacho
Upo sahihi la mama...Next si kuchukua hatua kuanza kuzitafuta ili nilinde status niliyojipa..!! 😹
Bila kujicompare hatuwezi kufikia malengo, hata hao walijicompare na wengine..!!
Una rafiki matajiri?
Waulize wakwambie
Unajua chanzo cha magonjwa ya moyo na depression zisizoisha? dunia haiko kwenye level moja hata siku moja, lazima tuwe na vibarua lazima tuwe na maskini, lazima tuwe na ombaomba, unapumua vizuri huna hata mafua ila unakula milo miwili kwa siku, baba Ezekiel ana fleet ya luxury cars na milo hata 10 ya chakula akijiskia kufanya hivyo kwa siku, ila tu ana presha na kisukari hawezi kula zaidi ya supu ya tembele na kipande cha tango.Acha kufundisha watu uvivu..!!
Hayo maisha ya kuridhika ndo yametufikisha hapa kama taifa.!.!
Tunatakiwa kujicompare ili tuchukue hatua.
Bwashee unawaza keupe tuJilinganishe wewe waa leo na wewe wa jana, kuna watu malengo yetu ni kupata hela za bia tu, ukijilinganisha utapotea
Hapana bwashee , nimeokoka nampenda yesu😅Bwashee unawaza keupe tu
Bwashee meza ina ice creamJilinganishe wewe waa leo na wewe wa jana, kuna watu malengo yetu ni kupata hela za bia tu, ukijilinganisha utapotea
Hapa nilienda kupata capchino bwashee hizo ice za watoto tu🤣Bwashee meza ina ice cream
Unampenda kwa sababu ya ile divaiHapana bwashee , nimeokoka nampenda yesu😅