Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Next si kuchukua hatua kuanza kuzitafuta ili nilinde status niliyojipa..!! š¹Sjafundisha watu uvivu
Point yangu ni kwamba watu waishi maisha yao halishi.
Let say wewe hapo kujicompare na alico dangote ,mo dewj , mark Zuckerberg,Elon musk eh then what next.
Bila kujicompare hatuwezi kufikia malengo, hata hao walijicompare na wengine..!!
Una rafiki matajiri?
Waulize wakwambie