Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima , wengine ukiwapenda wanakuzawadia dharau

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima . Wengine ukiwafanyia hivo wanakuzawadia dharau , chagua watu wakuwaheshimu na watu wakuwapenda .
 
Mkiwapenda Wanaowapenda Nyinyi mnapata Ziada Gani.. ? Yaani wewe unampenda Mtu ambaye Unajua Huyu Nikimuonyesha Upendo Atanirudishia Tu .. Au Najua Nikikusaidia Tsh 100 utanirudishia 100.. Huo si UPENDO

UPENDO ni kufanya Jambo Ukijua Kabisa Mtu huyu hawezi Nirudishia chochote kile..
 
Nataka nije nikuzabue kofi najua hautanirudishia wewe ni mlokole safiii
 
Back
Top Bottom