Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.
UPENDO NDIO SHERIA KUBWA YA KUINGIA UFALME WA MUNGU
Watu wanapoweka umakini wao kwenye upendo matatizo mbalimbali huondoka yenyenye Upendo ndio Sheria kuu sheria kuu nasisitiza dini yako haiwezi kukupeleka kokote kule wala cheo chako wala elimu yako hata kidogo fuata tenda ukarimu wema upendo...
Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha...
Ndugu zangu Watanzania,
Mfariji Nambari Moja wa Taifa hili na Tumaini la Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia
Kwa Moyo wake wa Upendo, Huruma na Ukarimu Amezawadia Issa Musembe Ambaye ni Mlemavu na Pia...
Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia.
Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi.
Je...
Wakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa...
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Anapendwa na Watanzania,anakubalika na watanzania,anaishi mioyoni Mwa Watanzania,ameiteka mioyo ya watanzania,amegusa Hisia za Watanzania.
Kila unapopita iwe ni mitaaani, Vijiweni,Makanisani ,mastendi,kwenye mikusanyiko mbalimbali inayowakutanisha...
Tanganyika na barani Afrika kwa ujumla, mizozo ya kifamilia pale mhimili wa nyumba anapoaga dunia imekuwa kama jambo la kawaida na la kuzoeleka.
Mara nyingi tunashuhudia ndugu wa damu wakisafisha njia kuelekea mahakamani au hata kurushiana makonde, wakigombania namna ya kugawana mali...
Mmoja ya vijana wayahudi waliokuwa katika camps za mateso alizokuwa amejenga hitler kwa ajili ya kuangamiza kizazi cha kiyahudi aliandika hivi ukutani "KAMA MUNGU YUPO BASI ANATAKIWA KUNIOMBA MSAMAHA"
Wamama wanalia sana katika maombi, wameteswa, vizazi vyao vimeharibika ila watesi wao ndio...
Siyo kwamba nawa-miss ex, hapana, bali kila nikiangalia zile style za picha tulizopiga kwa kipindi kile, aina ya mifumo ya zamani ya maisha iliyokuwa tofauti, huwa nabaki natabasamu tu.
Kuna mda ma ex huwa wananipgia simu na kuniuliza "ivi zile picha bado unazo" nawajibu ndiyo, wakisikia hivyo...
Naulizia ule upendo unaopenda toka moyoni Kwa Nia ya dhati.
Ule upendo ambao hauangalii una Nini au we ni nani au ukoje,unaakuangalia moyo wako.
Unaowaunganisha watu Kwa mioyo Yao na sio walivyo navyo.
Ule upendo ambao hata ukiporomoka Hadi 0 mwenzio bado anakwambia nipo nawe.tutatafuta...
Nianze kusema kwamba kuna wanawake wanajua kupenda na huu sio uongo.
Binti nilipomsogelea na kuzungumza nae akacheka sana kisha ndani ya maongezi yetu ya dakika zisizozidi 10 akanifanyia jambo moja la upendo wa pekee sana.
Wanawake wote wenye upendo wa Agape muishi miaka mingi.
Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana)
Binafsi napenda kuwa the center of attention.
Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
Ikumbukwe mimi si mwana ndoa ila natalajia kuingia huko, natamani pia kufahamu uelewa wenu.
Kwa mtazamo wa uchambuzi, mambo yanayosaidia ndoa kudumu yanaweza kuwa:
1. Uelewa wa maana ya ndoa
Watu wengi huingia kwenye ndoa wakifikiri ni mwisho wa safari ya furaha, lakini kwa kweli ni mwanzo...
Yn 14:23 SUV
[23] Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
Kila mmoja mpaka kufika umri alionao sasa, amewahi kupenda kitu katika maisha yake, hata kama kwa wengine kinaonekana ni kitu cha kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.