USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha unaoshambuliwa na Waislamu wa Yemen na Irani walikiwa na azma ya kuumaliza mji mtakatifu wa chimbuko la Uislamu.
Yesu alituachia amri kuu ya upendo na kututaka tupendane na hasa kuwapenda wanaotuchukia tofauti na hawa walioachiwa amri ya jino kwa jino panga kwa panga
USSR
Yesu alituachia amri kuu ya upendo na kututaka tupendane na hasa kuwapenda wanaotuchukia tofauti na hawa walioachiwa amri ya jino kwa jino panga kwa panga
USSR