Picha Nilizopiga Na Ma Ex Zangu, Nimeshindwa Kabisa Kuzifuta Kwenye Gallery, Nimezihifadhi Kwenye Locked Folder

Nyafwili

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
6,168
Reaction score
15,748
Siyo kwamba nawa-miss ex, hapana, bali kila nikiangalia zile style za picha tulizopiga kwa kipindi kile, aina ya mifumo ya zamani ya maisha iliyokuwa tofauti, huwa nabaki natabasamu tu.

Kuna mda ma ex huwa wananipgia simu na kuniuliza "ivi zile picha bado unazo" nawajibu ndiyo, wakisikia hivyo huwa wanapoa sana nakuanza kuniomba nizifute mara moja, lakini mimi bado naona ni kumbukumbu yangu nzuri, hasa pale kila nikiangalia maumbile yao.

Vita niliyo nayo kwa sasa ni ya moyo kuna mda inasema futa hizo picha, lakini kidole kinasema ngoja kwanza, yani nashindwa kabisa kuzifuta, kuna siku niijilazimisha kuzifuta, lakini baada ya dakika chache tu nikaziludisha tena na kuhamisha tena kwenye locked folder ili zisionekane.

Yani kila nikiziona hizi picha narudishwa kwenye memories. Lakini kwa kuwa nimeoa, Nimeamua kuziweka kwenye locked folder kabisa. Hakika hii Gallery imekuwa kama museum ya exes zangu.
 
Picha hazitkiwi kufutwa ,ni ukumbusho.
 
Kama vile nini mkuu?
Kama hivi mkuu, huwezi kuona ila tayari tatizo limeshaanza.

"Vita niliyo nayo kwa sasa ni ya moyo kuna mda inasema futa hizo picha, lakini kidole kinasema ngoja kwanza, yani nashindwa kabisa kuzifuta, kuna siku niijilazimisha kuzifuta, lakini baada ya dakika chache tu nikaziludisha tena na kuhamisha tena kwenye locked folder ili zisionekane."

Halafu leo umejipa kazi ya ulinzi, Kesho utakutwa na mpenzi wako ukizitazama.
 
Upo sahihi mkuu, ila ndo hivyo mwili unapingana na nafsi, na kuna tamaa na ustaarabu kila kitengo kinavutia upande wake.
 
Back
Top Bottom