Picha Nilizopiga Na Ma Ex Zangu, Nimeshindwa Kabisa Kuzifuta Kwenye Gallery, Nimezihifadhi Kwenye Locked Folder

Upo sahihi mkuu, ila ndo hivyo mwili unapingana na nafsi, na kuna tamaa na ustaarabu kila kitengo kinavutia upande wake.
Futa mkuu. Kuna mambo lazima uyaruhusu yapite maana ukiyabeba huko mbele yanaweza kuleta huzuni.

Imagine umedakwa na mama watoto ukizitazama. Embu chagua maneno ya kumueleza aelewe?
 
Itakuwa "nisamehe mke wangu, ni shetani tu, hata mimi nashangaa zimekujaje kwenye simu yangu. 🤒 🤒
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Futa unaendekeza hisia. Mimi tukiachana nafuta tu convo sio mtu wa mapicha. Huyu nilienae sasa tunakaribia mwaka ila hatuna hata picha ya pamoja. Kwa kifupi simu yangu haina picha yake yeye ndie anapenda kunipiga picha kwa simu yake.
 
OK mkuu, inabidi nifanye hivyo..
 
Back
Top Bottom