Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Mfariji Nambari Moja wa Taifa hili na Tumaini la Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia
Kwa Moyo wake wa Upendo, Huruma na Ukarimu Amezawadia Issa Musembe Ambaye ni Mlemavu na Pia Ni Muimbaji wa Nyimbo za Uzalendo.
Ambapo Muimbaji huyo wa Nyimbo za Uzalendo na Ambaye ameweza Kuzunguka katika mikoa mbalimbali Nchini katika shuguli nzima za ukimbizaji wa Mwenye wa uhuru na kushiriki katika Matukio mbalimbali katika Mikoa tofautitofauti. Alitoa Ombi la kusaidiwa Bajaji iweze kumsaidia .
Ambapo Rais wetu Mpendwa ambaye alikuwa akifuatilia shuguli za Mwenge wa uhuru katika mikoa mbalimbali Nchini hadi katika kilele cha Kuhitimisha tukio lililofanyika Mkoani Rukwa .
Muimbaji huyo alitoa Ombi hilo alipokutana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Deogratias Ndejembi aliyekuwa mgeni Rasmi katika kilele cha Mbio za Mwenge Mwaka huu.
Ambapo Rais wetu Mara baada ya kusikia Ombi la Muimbaji huyo kwa Moyo wake wa huruma upendo na ukarimu ameweza kumsaidia muimbaji huyo kwa kumnunulia Bajaji Mpyaaa ikiwa na makaratasi yake na kukabidhiwa kwa Muimbaji huyo hii leo .
Ikumbukwe Ombi hilo lilitolewa jana lakini ndani ya saa chache Rais wetu kipenzi ameweza kutoa msaada huo uliogusa Hisia za Mamilioni kwa Mamilioni ya watanzania ndani na nje ya nchi. Kwa hakika itatuchukua muda mrefu sana kupata Rais wa aina ya Rais Samia mwenye moyo wa upendo huruma na ukarimu . Ikumbukwe ya kuwa kutoa ni moyo na siyo suala la utajiri .
Ucha Mungu na hofu ya Mungu iliyo ndani ya Mama yetu imemfanya kuwa mwemye upendo huruma na ukarimu. Yaani Rais Samia Kambeba Mungu ndani yake na Mungu yupo naye wakati wote . Kwa hakika Rais Samia ataendelea kulipwa Mema na Mungu aketiye juu Mahali patakatifu .
Kwa moyo wa Rais Samia ndiyo Maana anaendelea kubarikiwa na Kupitia yeye Taifa letu linaendelea pia kubarikiwa kwa kila kitu na kila jambo tufanyalo na Kugusa . Mikono ya Rais Samia imebarikiwa na Maisha yake yamefanyika baraka kwa Maisha ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.