rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Namuomba Rais Samia Amsamehe Benno Malisa Na Kumpatia Nafasi ya Pili Kulitumikia Taifa Letu Katika Nafasi nyingine yoyote Ile ndani ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Natambua wazi Namna Rais wetu alivyo na Upendo Mkubwa kwa Vijana wa Taifa hili . Natambua Juhudi kubwa sana zinazofanywa na Rais wetu Mpendwa katika Kuhakikisha kuwa analiweka Taifa hili Mikononi Kwa Vijana ambao ni wengi sana Nchini kitakwimu. Najua Rais wetu anatambua...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Nyongo: Hakuna wa kuinunua serikali ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo amewatoa hofu Wananchi wa Kijiji cha Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, akisisitiza kuwa hakuna Mtu aliye juu ya sheria wala anayeweza kuinunua Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nyongo ameyasema hayo Novemba 3, 2026, alipofika Mijijini hapo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dr. CassyPool: Trump akinipigia simu nakata, napokea ya Mama Samia

    Mgombea wa Ugavana Nairobi Kevin Onyango Odhiambo maarufu kama CassyPool amezungumza haya alipokuwa katika podcast nchini Kenya. Amesema, "kwanza nampenda Mwenyezi Mungu, wa pili nampenda Mama Samia. Leo simu ya Trump ilie na huku ya mama Samia ilie, Trump atasubiri" Na hata screen ya simu yake...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nchi zinazofanya vizuri wakati mwingine husingiziwa kuvunja haki za binadamu

    Akizungumza leo Novemba 2, 2026, Ikulu Chamwino, katika uapisho wa Viongozi aliowateua hivi karibuni, akiwemo Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi pamoja na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Faris: Kwa kazi hii aliyofanya Rais Samia, unayejiandaa kumzamisha Rais Samia tutakuzamisha wewe

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Faris Buruhani, amewataka watu wanaowapa wananchi taarifa zinazoweza kuwachochea kumchukia Rais Samia Suluhu Hassan kuacha kufanya hivyo, akisema juhudi zilizofanywa na Serikali katika sekta mbalimbali zinapaswa kutambuliwa. Akizungumza Oktoba 31...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo nimeenda bandari ya Dar es Salaam. Ni kichaa pekee atamdharau Rais Samia

    Kwa porojo na propaganda Rais Magufuli atazidi kuonekana kuwa alikuwa Rais bora kuliko Marais wote. Kwa Takwimu za wazi kabisa Rais Samia ndiye Rais bora kuliko wote. Amekusanya mara mbili ya Kodi alizokusanya Magufuli bila mtu kutishiwa na SMG au bastola. Hajapora pesa za watu benki Ameajiri...
  8. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Rais Samia amewaaibisha waliombeza

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaibisha waliombeza waliokuwa wakidhani kuwa asingeliweza kuendeleza miradi ya kimkakati ya Taifa. Shaka amesema wakati Mhe. Rais Samia anaingia madarakani, licha...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watumishi wa Umma Tumieni mazingira bora ya kazi yaliyowekwa Mji wa Serikali Mtumba kuwahudumia wananchi kwa heshima na uwajibikaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka watumishi wa umma kutumia mazingira bora ya kazi yaliyowekwa katika Mji wa Serikali Mtumba kuwahudumia wananchi kwa heshima, uadilifu, uwajibikaji na ufanisi. Rais Samia ametoa rai hiyo leo, Oktoba 30, 2026, wakati...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuliupa jina 'Magufuli City' mwaka 2019, sasa tumekamilisha ujenzi Mji wa Serikali

    Rais Samia Suluhu, amezindua rasmi majengo ya wizara na taasisi za serikali katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akimpongeza Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi na uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo mwaka 2016. Rais Samia amekumbusha kuwa mwezi Aprili 2019, Hayati Magufuli...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia amewaaibisha waliosema hatoweza kumaliza miradi hii mikubwa ya kimkakati

    DKT. SAMIA AMEWAIBISHA WALIOMBEZA, AITHIBITISHA TANZANIA INAWEZA - DC SHAKA Asema Uongozi Wake Umeleta Matokeo Makubwa na Kuifanya Tanzania Kung'ara Kimataifa Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Rais Samia akimpokea rasmi Rais wa Angola Ikulu ya Dar es salaama

  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumesikitishwa na kuvunjika kwa usalama katika nchi kadhaa hasa Eastern DRC

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Angola zimejadiliana kuhusu hali ya usalama na utulivu katika ukanda wa Kusini mwa Afrika, pamoja na migogoro inayoendelea katika maeneo mbalimbali, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na eneo la Maziwa Makuu. Amesema nchi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Angola wametukaribisha kushirikiana nao, TPDC imeanza mchakato kuingia ubia mradi wa kinu cha kusafisha mafuta Lobito

    kizungumza leo Oktoba 29, 2026 wakati wa Mkutano wake na Rais wa Angola, Rais Samia ameeleza kufurahishwa kwake na ziara hiyo ambayo inafungua fursa mpya za kiuchumi na kijamii, hasa ikizingatia rasilimali walizonazo nchi zote mbili ikiwemo mafuta, gesi, na madini. Amesisitiza kuwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maryprisca Mahundi asukwa mtindo wa Jina la Rais Samia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhandisi Maryprisca Mahundi Maryprica Mahundi akisukwa mtindo wa Jina la Rais Samia ikiwa ni sehemu ya shindano la Ususi hapa Mlimani City kwa Wasusi wakiandika majina ya Viongozi...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Msibani kwa Baba Wambura

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kwa Kiingereza Safiii Atuma Salamu Za Pongezi Kwa Rais Wa Brazil Kwa Ushindi Wake Mnono. Aahidi Kuendeleza Ushirikiano Wetu wa Kihistoria

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,nuru ya Wanyonge, jasiri muongoza njia na Nyota ya Matumaini. Amemtumia Salama za Pongezi Rais Mteule wa Brazil Lula Da...
Back
Top Bottom