Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Mgombea wa Ugavana Nairobi Kevin Onyango Odhiambo maarufu kama CassyPool amezungumza haya alipokuwa katika podcast nchini Kenya.
Amesema, "kwanza nampenda Mwenyezi Mungu, wa pili nampenda Mama Samia. Leo simu ya Trump ilie na huku ya mama Samia ilie, Trump atasubiri"
Na hata screen ya simu yake ameweka picha ya Mama Samia. Amesema "naipenda Tanzania kwasababu ya Mama Samia" anaongezea, "hakuna kiongozi katika Afrika Mashariki ambae anafanana na Mama Samia kwa roho, sitakuja kumsaliti Mama Samia"
Hayo ni maneno ya Dr. CassyPool, wewe mdau una maoni gani?