cassypool

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Dr. CassyPool: Trump akinipigia simu nakata, napokea ya Mama Samia

    Mgombea wa Ugavana Nairobi Kevin Onyango Odhiambo maarufu kama CassyPool amezungumza haya alipokuwa katika podcast nchini Kenya. Amesema, "kwanza nampenda Mwenyezi Mungu, wa pili nampenda Mama Samia. Leo simu ya Trump ilie na huku ya mama Samia ilie, Trump atasubiri" Na hata screen ya simu yake...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Cassypool: Nakuja Tanzania 2026 kuongea na vijana kila mkoa kudumisha amani

    Akiwa anazungumza hivi karibuni content creator kutokea Kenya Cassypool amesema: "Lazima tuketi tuongee umuhimu wa amani kwenye kanda la Afrika Mashariki ni juhudi zetu kwa pamoja kuongea na kujua jinsi tunaweza kuweka amani katika kanda la Afrika Mashariki ama jinsi tunavyoweza tumia mitandao...
Back
Top Bottom