Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Akiwa anazungumza hivi karibuni content creator kutokea Kenya Cassypool amesema:
"Lazima tuketi tuongee umuhimu wa amani kwenye kanda la Afrika Mashariki ni juhudi zetu kwa pamoja kuongea na kujua jinsi tunaweza kuweka amani katika kanda la Afrika Mashariki ama jinsi tunavyoweza tumia mitandao ya kijamii kujinifuhaisha na si kutumia kuharibu nchi zetu"