Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mkoani Arusha, tarehe 08 Machi, 2025 amesema sherehe hizo zitakuwa zinafanyika Kimikoa lakini zitafanyika kitaifa kila baada ya Miaka mitano.
Hivyo, sherehe nyingine za aina hiyo...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake.
Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema kwa sasa limebaki upande wa Serikali kulifanyia kazi.
"Jambo hili ni zito na sio jepesi...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja.
Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) Rais Samia amesema nchi inajitosheleza chakula chake na zilizobaki ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanalea kizazi chenye maadili mema, heshima, na uwezo wa kujenga hoja, ili kuimarisha jamii yenye mshikamano na taifa lenye maendeleo.
Akizungumza mkoani Arusha, Machi 8, 2025 katika...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Mwaka wa Mamlaka ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) utakaofanyika Machi 11-12, 2025 jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa ALAT Taifa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Makonda alimtaja...
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha
https://www.youtube.com/live/1noAQDGD9e8?si=MT9ZfW_E_QbmTDZl
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akitoa salamu za mkoa
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha...
Wanawake wa Jamii ya wahadzabe wanaoishi katika eneo la Eyasi wilayani Karatu Mkoani Arusha wamepaza sauti katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa kumuomba Rais Samia Suluhu awasaidie wapate ardhi,maji,chakula na kuzuia uvamizi wa maeneo yao.
Katika mdahalo uliofanyika katika Kijiji...
Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Arusha na maeneo mengine nchini.
Akizungumza Ijumaa, Machi 7, 2025, katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.
Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema Maandalizi ya kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yamekamilika na kueleza kuwa Rais Samia ni Mwanamke wa Mfano duniani hivyo wao kama Mkoa wanajivunia Rais Samia.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani humo Machi 9 mwaka huu ambapo atazindua mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe na badae atafanya mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi katika viwanja vya CD Msuya wilayani...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amewahamasisha wanawake kote nchini kujitokeza kugombea nafasi za udiwani na ubunge, huku akiwataka kuwaunga mkono wanawake wenzao kwa kura nyingi, hususan mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza katika...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Msikiti wa BAKWATA Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera (Masjid Zahra), leo tarehe 6 Machi 2025.
Awali, Bashungwa aliungana na Sheikh wa Wilaya ya Karagwe, Alhaj Nassibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ akishiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya hiyo (SADC Organ) kwa njia ya mtandao...
Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya maendeleo ya Mkoa huo hasa katika masuala ya kiuchumi na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja...
Wakuu,
CHADEMA msijichanganye kumuweka mtu mwingine kugombea nafasi ya Urais CHADEMA zaidi ya Godbless Lema.
Tundu Lissu ni maarufu ndio lakini linapokuja suala la kuwa Rais, Godbless Lema ni presidential material kabisa.
CHADEMA kwa sasa inahitaji mtu mwenye siasa za U-populist (Kama Trump)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.