rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNICEIF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF) Bi. Catherine Russell, leo tarehe 11 Machi, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Katika mazungumzo yao, Rais...
  2. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia: Nimetoa mikeka mingi ya mabadiliko, natafuta watakaosimama na Serikali

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025. https://www.youtube.com/live/InZNLiUNiCU?si=g75Xu8EoJy6IoBRc Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutafuta ufanisi wa utendaji kazi...
  4. The Watchman

    Pre GE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  5. K

    Pre GE2025 Rais Samia hawa chawa wa nini?

    Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo. Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze na...
  6. Father of All

    Kama rais Samia angekuomba ushauri, ni mawaziri na wakuu wa mikoa gani ungemshauri apige chini na ukiweza, kwanini?

    Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao. Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma. Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
  7. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  8. I

    RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE MKOA WA KILIMANJARO.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 09, 2025 anatarajiwa kuwa Mkoani Kilimanjaro ambapo pamoja na mengine, anatarajiwa kuwa Nyumba ya Mungu, Wilayani Same kuzindua mradi wa maji Same-Mwanga-Korogwe. Mradi wa maji Same-Mwanga-Korogwe ulisanifiwa...
  9. Ojuolegbha

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuketi leo jijini Dodoma

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuketi leo jijini Dodoma, 05:00 asubuhi leo tarehe 10 Machi, 2025 mjini Dodoma.
  10. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Rukwa: Wavuvi 800 wamemchangia Rais Samia fedha ya kuchukua fomu ya kugombea Urais

    Wavuvi wa Ziwa Tanganyika wamemchangia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan fedha za kuongezea kwenye uchukuaji wa fomu ya kugombea Urais wakati wa uchukuaji fomu ukifika wakisema wamefanya hivyo kutokana na namna Serikali yake inavyotatua kero za Wavuvi nchini. Kupata matukio na taarifa zote...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika. Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 Aweso: Rais ametoa maelekezo ni marufuku kumkatia maji mwananchi wa Mwanga, Same kipindi cha sikukuu na wikiendi!

    Wakuu, Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki! Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa Rais?:BearLaugh::KEKLaugh: Kwahivyo huo mradi hautakuwa unajitosheleza, maji yatakuwa yanakatika kama kawaida...
  13. M24 Headquarters-Kigali

    Mafuriko ya SGR: Shabiby & Abood wakimbilia route za Tanga, Tunduma

    Kufuatia mafuriko ya SGR (Dar-Moro- Dodoma) mabasi ya Shabiby na Abood wamejiongeza na kutafuta route mpya. Asante Samia
  14. Gabeji

    Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

    Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania. Mm binafsi namwaonea huruma sana samia sipati picha nzuri kwake ,kwa sababu a. mvuto na ushawishi wa kisiasa hana,achilia mbali makabila...
  15. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  16. J

    Pre GE2025 DODOMA: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM

    Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan. ===
  17. ngara23

    Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

    Rais Samia wewe ni Rais wetu sote. Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo. Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria...
  18. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Maelfu ya mabinti wa vyuo mkoani Mwanza wavutiwa na uongozi wa rais Samia, wameomba kukutana naye

    Kampeni ya Mama asemewe imeadhimisha sikukuu ya Wanawake mkoani Mwanza kwa kuandaa Kongamano kubwa la BINTI WA LEO, SAMIA WA KESHO ambapo lilikusanya takribani Mabinti 2000 kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Mwanza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  19. Mindyou

    Rais Samia: Kuna mambo ambayo mpaka dunia itakwisha wanawake na wanaume hawatakua sawa

    Wakuu, Akiwa kwenye maashimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake, Rais Samia amesema kuwa pamoja na harakati za usawa baina ya mwanamke na mwanaume zinazoendelea lakini huwa kuna mambo hayana usawa
  20. The Watchman

    Pre GE2025 Makonda: Arusha itaongoza kwa kura nyingi za Rais Samia

    “Mheshimiwa Rais, huu ndio Mkoa [Arusha] ambao kaka yangu Dkt. Nchimbi atakuja kukuletea idadi ya kura nyingi zilizopatikana kwenye uchaguzi. Haya nayasema kwa sauti ya unyenyekevu kwa sababu najua mkutano huu sio wa siasa, lakini nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utapata kura nyingi sana.” – Paul...
Back
Top Bottom