Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?
Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kwa muda mfupi na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati...
Rais wetu kipenzi cha Watanzania wote Dkt Samia Suluhu Hassani, hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana maana kila kona ni maendeleo.
Kwenye huduma za afya umeweka hela nyingi kama vile ujenzi wa zahanati, vituo vya afya, madawa n.k
Umegusa kwenye miundombinu ya barabara huko usiseme, Umeme upo...
Ndugu zangu Watanzania,
Taifa letu linaendelea kuwa lenye baraka na Neema kwa sababu linaongozwa na kiongozi Mwenye hofu ya Mungu, kiongozi Mcha Mungu,kiongozi mnyenyekevu, kiongozi mwenye kuishi Maisha yenye kumpendeza Mungu, kiongozi mwenye mikono safi na matendo safi ,kinywa safi na matendo...
Mambo matatu ya kipekee kwenye msafara wako mama.
1 . Msafara wenye magari machache. Ni mara chache kuona si kwenye video, na misafara mbalimbali magari kama kufuru. Msafara wako ulinivua sana.
2. Mwendo wa kistaarabu. Kwa mwendo ule hakika nchinilo.salama salimini. Hata Mwenyezi Mungu...
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
MAELEZO YA MHESHIMIWA WAZIRI WA UCHUKUZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025.
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 1, 2025, ametembelea Bandari ya Tanga kukagua maboresho...
Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla Mbabe ambaye amepoteza pambano lake dhidi ya bondia kutoka Zambia.
Akizungumza katika tukio hilo...
RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam usiku huu.
Wakuu,
Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni.
Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu.
Hapa ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni huko mkoani Tanga...
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema
kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda.
Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani, alipohitimisha ziara yake ya siku sita, Rais Samia amesema kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia.
Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata...
Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025
https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31
Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya...
Wakuu,
Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani
Muda mfupi baadae na Abdulmajid Nsekela CEO wa CRDB ameunga mkono "challenge" hiyo
Zamani tulishazoea kuwa uchawa...
Wakuu,
Msanii Mabodo Afrika akitoa burudani maalum kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 wa Jiji la Mbeya.
Tukio hili linafanyika katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 20 kwa familia nne za marehemu wa ajali iliyotokea Februari 25, 2025 jijini Mbeya na kukabidhi milioni 6 kwa majeruhi sita wanaoendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.
Salamu...
Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba
Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele ya hadhara jana, watoto wao wapo elementary 😂😂😂
Moderator mbona mnaweka heading ambayo mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.