Leo nimeenda bandari ya Dar es Salaam. Ni kichaa pekee atamdharau Rais Samia

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Kwa porojo na propaganda Rais Magufuli atazidi kuonekana kuwa alikuwa Rais bora kuliko Marais wote.
Kwa Takwimu za wazi kabisa Rais Samia ndiye Rais bora kuliko wote.

Amekusanya mara mbili ya Kodi alizokusanya Magufuli bila mtu kutishiwa na SMG au bastola.
Hajapora pesa za watu benki

Ameajiri zaidi ya mara 5 ya ajira za Magufuli.

Sekta binafsi zilozouliwa na Magufuli kafufua. Sasa hivi vijana wa Kitanxania wanamwaga maghorofa tu.
Magari ya mawaziri na majaji mpaka vijana wadogo wananunua sasa.

Yaani kwa ufupi umaskini ulionao sasa ni kwa sababu ya Akil zako finyu wala Si mikwamo ya serikali.
Kuna sekondari ukienda sasa hivi utadhani shule za ulaya. Sasa hivi mpaka Kigoma to Dar ni mkeka tupu.

Wachimbaji wadogo, wa kati na wawekezaji sasa full shangwe. Nyie mnaotia kelele mna pepo wachafu.
Hamjui mfanye lipi muache lipi . Kazi ya pepo wachafu ni kukuvuruga.

Wakati nafanya kazi kipindi cha Magufuli parking ya office gari private zilikuwa hazizidi 4 . Ya mwasibu, PMU officer na meneja tu tena hao wote walipata pesa kimagumashi.

Sasa hivi kazini kwetu mtu asiye na gari atake yeye. Vijana wakulima huko vijijini wananunua misauzi tu.
Mpewe nini nyie vijana wenye pepo wachafu?

Nimeenda bandari ya Dar es Salaam leo aiseee kumenoga.

Mafisadi yaliyopitisha mizigo na kusema ni ya kanisa ndio ina piga kelele baada ya kupigwa pin.
 
Anayeweza kumuamini huyo fazafaka ni yule ambaye ni mentally challenged tangu kuzaliwa kwake!
 
Tutakuamini vipi chawa usiyeweza hata kuandika kwa ufasaha.

Eti "mwasibu" badala ya neno sahihi mhasibu.
 
Kwa porojo na propaganda Rais Magufuli atazidi kuonekana kuwa alikuwa Rais bora kuliko Marais wote.
Kwa Takwimu za wazi kabisa Rais Samia ndiye Rais bora kuliko wote.

Amekusanya mara mbili ya Kodi alizokusanya Magufuli bila mtu kutishiwa na SMG au bastola.
Hajapora pesa za watu benki

Ameajiri zaidi ya mara 5 ya ajira za Magufuli.

Sekta binafsi zilozouliwa na Magufuli kafufua. Sasa hivi vijana wa Kitanxania wanamwaga maghorofa tu.
Magari ya mawaziri na majaji mpaka vijana wadogo wananunua sasa.

Yaani kwa ufupi umaskini ulionao sasa ni kwa sababu ya Akil zako finyu wala Si mikwamo ya serikali.
Kuna sekondari ukienda sasa hivi utadhani shule za ulaya. Sasa hivi mpaka Kigoma to Dar ni mkeka tupu.

Wachimbaji wadogo, wa kati na wawekezaji sasa full shangwe. Nyie mnaotia kelele mna pepo wachafu.
Hamjui mfanye lipi muache lipi . Kazi ya pepo wachafu ni kukuvuruga.

Wakati nafanya kazi kipindi cha Magufuli parking ya office gari private zilikuwa hazizidi 4 . Ya mwasibu, PMU officer na meneja tu tena hao wote walipata pesa kimagumashi.

Sasa hivi kazini kwetu mtu asiye na gari atake yeye. Vijana wakulima huko vijijini wananunua misauzi tu.
Mpewe nini nyie vijana wenye pepo wachafu?

Nimeenda bandari ya Dar es Salaam leo aiseee kumenoga.

Mafisadi yaliyopitisha mizigo na kusema ni ya kanisa ndio ina piga kelele baada ya kupigwa pin.
Pale Kimara ujenzi umesimama shida nini?
 
Screenshot_20260806-121059~2.png
 
Back
Top Bottom