bandari

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo nimeenda bandari ya Dar es Salaam. Ni kichaa pekee atamdharau Rais Samia

    Kwa porojo na propaganda Rais Magufuli atazidi kuonekana kuwa alikuwa Rais bora kuliko Marais wote. Kwa Takwimu za wazi kabisa Rais Samia ndiye Rais bora kuliko wote. Amekusanya mara mbili ya Kodi alizokusanya Magufuli bila mtu kutishiwa na SMG au bastola. Hajapora pesa za watu benki Ameajiri...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari Mbamba Bay yafungua fursa za ajira, biashara

    Ajira, ujuzi wa ufundi na kuimarika kwa biashara ndogo ni miongoni mwa fursa ambazo wananchi wameanza kupata kutokana na ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay, wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma, ambao umefikia asilimia 78. Baadhi ya vijana wanaoshiriki ujenzi huo wamesema wamepata kipato cha kuendesha...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hongereni Tanga, Bandari imefunguka. Ila kwa haya maroli, TANROAD fanyeni kuiandaa hii barabara Segera - TA.

    Hii barabara ya Segera - TA ilikua calm, rahisi kuendesha, maroli ya hapa na pale, ila sahivi, tofauti yake na ya Morogoro-Dar ni idadi ya vilaka tu. Wahusika wasiposhtuka mapema, itakua mbovu haijawahi kutokea. Ngoja tuipe mwaka.
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar Es Saalam yazidi kuweka rekodi mpya ya Shehena

    Shehena inayohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam imeongezeka kwa kasi, kutoka tani milioni 16.27 mwaka 2020/21 hadi tani milioni 27.7 mwaka 2024/25, na kufikia tani milioni 33.7 mwaka 2025/26 rekodi mpya. Hii ni ongezeko la takribani 107% ndani ya kipindi hicho, likiashiria kuimarika kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom Uchumi unakua vizuri Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu Real estate iko juu sana sahivi watu wanajenga sana Mapato ya TRA yanaongezeka Ila hakuna Trickle down economics...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPANDA KIMATAIFA, YAIACHA MOMBASA NA DURBAN

    Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global hupima ufanisi wa bandari kwa kuangalia muda ambao meli hutumia bandarini...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Plasduce Mbossa: Bandari ya Dar es Salaam imepanda Kimataifa kutoka nafasi ya 360 hadi 255 katika ufanisi wa kuhudumia makasha

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi kuhudumia tani milioni 54 za mizigo kutoka tani milioni 37

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Madhila wanayopata Iran kufuatia kuwekewa vizuizi kwenye bandari zake zote na Marekani

    Mamia ya malori yamekwama bila kufanya kazi katika mpaka wa milimani wa mashariki mwa Uturuki, kwenye njia kuu ya kuingia Iran. Kituo hicho cha mpakani kimekuwa muhimu zaidi kiuchumi kwa Tehran, huku Jeshi la Wanamaji la Marekani likiweka vizuizi katika bandari za Iran. Rais wa Iran, Masoud...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari unaoongozwa na China unafungua fursa mpya za kazi kwa Watanzania

    Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam. Leo, Mtanzania huyo anahudumu kama meneja wa rasilimali watu katika mradi mpya wa bandari ya Zanzibar...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bandari kavu zilizopo Kata ya Sandali, Temeke ni kero, malori yanapaki hovyo

    Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto. Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA

    SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA Kuna uwekezaji ambao unaonekana kwenye majengo, magati, reli na mitambo. Lakini kuna uwekezaji mwingine ambao thamani yake kubwa haionekani mara moja kwa macho, ni uwekezaji unaobadilisha namna nchi inavyounganishwa na biashara ya kikanda, namna mizigo...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko Yakamilika

    Kilwa Masoko Yakamilisha Bandari ya Kwanza ya Uvuvi Tanzania kwa 100% Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko umekamilika kwa asilimia 100%, ikiwa ni bandari ya kwanza ya uvuvi nchini. Mradi huo umegharimu Shilingi bilioni 280, fedha zote zikiwa za ndani, na unatarajiwa kuchochea uchumi wa...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania DP World Yaingia Mombasa Kwa Kishindo.Je Bandari yetu Itaendelea kuwa na Ofanisi au Ndio Wanatukacha Kwa Kuchoshwa na Siasa Uchwara za Wapinzani?

    My Take Nahitaji majibu maana biashara ni ushindani,wakitukacha itakuaje? ============= Rais wa Kenya, William Ruto, ameunga mkono ujenzi wa Eneo Maalum la Kiuchumi (SEZ) lenye thamani ya Shilingi bilioni 12 za Kenya (Ksh12 bilioni) katika eneo la Jomvu, Mombasa, akisema mradi huo utasaidia...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli bandari ya Dar es Salaam inahitaji kuongezewa eneo

    Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
Back
Top Bottom