bandari

  1. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

    Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia. Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
  2. Ritz

    Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  3. M

    Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Tetesi: DP world hawakupewa bandari za Tanganyika bure. Nakataa

    Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika. Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa...
  5. Pfizer

    Abdallah Ulega amesema mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko utatoa ajira elfu 30

    BANDARI YA UVUVI KILWA KUTOA AJIRA ELFU 30 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika...
  6. Yesu Anakuja

    Hivi, lile katazo la kutojenga bandari nyingine bila ridhaa ya mwekezaji, bali lipo?

    Nilikaa hapa nikafikiria, nikatamani wazo la kujenga bandari ya bagamoyo kama lingekuwepo, ikaunganishwa reli ya SGR toka dsm,bagamoyo, tanga, moshi, arusha, musoma to kenya, na bagamoyo kuunganisha na sgr hii mpa. nikakumbuka kuwa kumbe kulikuwa na kipengele cha marufuku kujenga bandari...
  7. Mr Chromium

    Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  8. Ritz

    Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port Golber ametangaza kuwa kazi katika bandari ya Eilat imesimama kabisa

    Wanaukumbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini." https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  9. R

    Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

    Salaam, shalom!! Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt? Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%...
  10. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  11. JanguKamaJangu

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 30 zimetumika kuboresha Bandari ya Ujiji lakini inamezwa na maji, hali ni mbaya

    Miaka ya hivi karibuni Serikali ilitangaza kuanza kufanya maboresho ya Bandari ya Ujiji, sina uhakika na kiwango lakini niliona taarifa ya Serikali kuwa inatarajiwa kutumiwa Shilingi Bilioni 32.5 kuboresha bandari hiyo na nyingine ya Kibirizi ambazo zote zipo maeneo Jirani. Mradi huo wa bandari...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi Makao Makuu ya Bandari ya Ziwa Tanganyika, Oktoba 18, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika (Kibirizi na Ujiji)...
  13. JanguKamaJangu

    Kinana akagua mradi ujenzi wa Gati la Bandari ya Ujiji Mkoani Kigoma, Septemba 1, 2022

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea taarifa ya mradi wa ujenzi wa gati la Bandari ya Ujiji ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 38.5. Kinana amefanya ziara ya kutembelea bandari hiyo leo Septemba 1,2022 baada ya kuwasili mkoani...
  14. BLACK MOVEMENT

    Lobito Atrantic Railways, hawalali, wanajiandaa kusafirisha madini ya Zambia na Congo.

    Lobito wanajidaa kusafirusha madini ya Zambia na Congo hadi Angola.
  15. Suley2019

    Seoul yasaini Mkataba wa Kujenga Bandari ya Uvuvi Zanzibar

    Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar. Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Lema aelimisha wananchi sababu ya mwarabu kanunua bandari

    https://www.youtube.com/watch?v=9of5FD2D9xw Nimebubujikwa na machozi.
  17. L

    Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
  18. Kaka yake shetani

    Hivi NASACO ingekuwepo mpaka leo haya ya bandari tungekuwa tunalalamika kweli

    Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo. Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi? NASACO iliungua na ukawa mwisho wake...
  19. BARD AI

    DP World yakabidhiwa rasmi Bandari ya Dar es Salaam

    Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la mizigo inayohudumiwa. Hiyo ni baada ya baadhi ya wamiliki wa migodi kutoka nchi jirani pia kuonyesha nia...
  20. Roving Journalist

    Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

    Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania. ==== The concession agreement for 30 years has been signed...
Back
Top Bottom