Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani.
Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga hatua kubwa kwa kupanda hadi nafasi ya 255 kimataifa. Wakati huo huo, mpinzani wake Mombasa ameshuka hadi nafasi ya 396.
Ukuaji huu unaweka Dar es Salaam nafasi 141 mbele ya Mombasa. Mafanikio haya yanadhihirisha matunda ya uwekezaji mkubwa wa Tanzania katika kuboresha miundombinu na kuifanya Ukanda wa Kati (Central Corridor) kuwa sehemu bora na ya uhakika zaidi kwa biashara ya kikanda.