DODOMA: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inalenga kuijengea uwezo endelevu Tanzania kuandaa na kuhuisha ramani za msingi, ili kujitegemea katika huduma hizo na hatimaye kuzitoa kwa nchi nyingine za Afrika.
Hayo yamesemwa leo Novemba 3, 2026 jijini Dodoma na Kamishna wa Ardhi, Bw...
Anaitwa Salim Hussein Ng'anzi. Jina lake kwa sasa siyo geni barani Afrika hasa ukanda wa nchi zinazozungumza Kiswahili, yaani Tanzania, Kenya, Uganda, Kongo DRC, Rwanda na Burundi.
Hii ni mara tu baada ya kutwaa Tuzo ya Kiswahili inayohusisha Bara la Afrika, hususan mataifa hayo tajwa...
China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu).
Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
Hivi karibuni, kuna habari tatu zinazostahiki kuangaliwa kwa pamoja. Ingawa zinaonekana hazihusiani, lakini zote zinafichua mabadiliko yanayotokea Afrika katika jukwaa la dunia.
Habari ya kwanza ni kwamba michezo ya Olimpiki ya Vijana ya Dakar ilifunguliwa, ikiwa ni mara ya kwanza kwa bara la...
Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye.
Juhudi za kutafuta...
Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
bara
kutokana
mkubwa
mkuu
muhimu
mustakabali
mwigulu
mwigulu nchemba
pamoja
uwezo
vijana
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrikaafrika mashariki
jumuiya
jumuiya ya afrika mashariki
katika
kazi
kiswahili
lugha
mashariki
mikutano
nyingine
rasmi
sadc
taasisi
umoja
umoja wa afrika
unesco
Siku kadhaa zimepita tangu Inspekta wa Polisi Salim Hussein Ng'anzi ashinde Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026, afande huyo amemtaja Mbunge wa Buchosa (CCM), Mkurugenzi wa Global Group na Mwamasishaji, Eric James Shigongo kwamba, amechangia yeye kufika alipo sasa.
Afande...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, aliwapa viongozi wa Afrika na wajumbe waliohudhuria mkutano wa Russia–Africa aiskrimu ya Urusi.
Katika video inayosambaa mitandaoni, viongozi na wajumbe wanaonekana wakipanga foleni kupokea aiskrimu zilizokuwa zimewekwa kwenye vikapu mezani. Putin pia anaonekana...
Russian factories could soon be heading to Africa. That's the message Vladimir Putin delivered in Moscow on Thursday.
Speaking on the second day of the Russia–Africa Summit, Putin said Russian companies are interested in shifting some of their production to African countries. He linked the idea...
Kumekuwa na ukimya tangu Inspelta wa Jeshi la Polisi, Salim Hussein Ngazi aliposhinda Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026.
Hatujaona kwenye vyombo vya habari, polisi ikitangaza ushindi wake na kumpa tuzo, pongezi na hata cheo kama walivyofanyiwa akina Ibrahim Bacca na...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi.
Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
My Take
Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇
https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao
matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
Moja kwa moja ..
Hili nimefuatilia sana ;
1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish
2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
Hii ni sababu moja kubwa ya umasikini wa sisi Waafrika. South Korea ina kama watu milioni 52 lakini inazalisha tani milioni 62 za chuma kila mwaka. Afrika ina watu bilioni 1.6 lakini inazalisha tani milioni 22 tu kwa mwaka. Kati ya hizo, tani milioni kumi zinazalishwa na Misri na tani milioni...
MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea .
Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika, Mamelodi Sundowns aka Masandawana ya Afrika ya Kusini wametupwa nje ya michuano hiyo baada ya sare ya 1-1 nyumbani kwake dhidi ya Williete ya Angola.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Angola, timu hizo zilitoka 0-0. Kwa matokeo ya leo, Masandawana...
Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.