Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao
matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa wanaharakati wanaokwenda Kenya kutafuta hifadhi.
wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi sasa? Tanzania 🇹🇿, Uganda 🇺🇬, Rwanda 🇷🇼, Burundi 🇧🇮 au DRC 🇨🇩?