mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Wayebusi hatupoi moto ule ule mwanzo mwisho

    Hiyo ndo sifa ya Wayebusi. Ni sababu ya kula vizuri na kushiriki mazoezi. Afya njema na wakati wote kujitunza huku tukikabidhi kila kitu kwa sir God. Uyebusi ni Imani, ni Utamaduni, Ni Maisha ni Uchumi.
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  3. murthehelp

    JamiiForums Tanzania PESA FEKI KUOMGEZEKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA.

    Naomba niipmbe serikali ichukue hatua madhubuti juu ya kuonbezeka kwa pesa feki kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa mwaka, sijui changamoto ni nini lakini naamini serikali yangu madhubuti italitendea kazi.
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu? Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje? Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want? Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana...
  5. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Pumzi za mwisho!!

    Inashangaza kuona namna upande mmoja wa mchezo unavyoendelea kuwa imara, wenye nidhamu, dira moja na safu zilizopangwa kwa ustadi wa hali ya juu. Wakati huo huo, upande mwingine unafanana na jahazi lililopoteza dira katikati ya bahari; mabaharia wamegawanyika, baadhi wamebadilisha misimamo...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Chonde, chonde! Huenda hili ni onyo la mwisho kwako!

    Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana 1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto' 2. Acha ulevi 3. Usiibe tena 4. Usirudie kusema uongo 5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipiza kisasi 6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako 7. Acha dharau...
  7. passioner255

    JamiiForums Tanzania watawala wauaji na wapambe wake huwa mwisho wao ni mbaya

    Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi wetu hawajui kusema "SIJUI". Kila kitu wanalazimisha, mwisho wa siku unalipa pesa nyingi lakini tatizo linabaki au yanaongezeka mengine.

    Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo. Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI." Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa Temeke Mwisho tumekaa kwenye eneo hili kwa miaka 15, leo tunaambiwa tuondoke kuna mgogoro

    Wafanyabiashara katika eneo la Temeke Mwisho tumepewa barua za kutakiwa kuondoka kupisha eneo hilo kwa ajili ya mwekezaji. Viongozi wanaeleza kuwa eneo hilo lina mgogoro, huku kukiwa na taarifa kuwa kampuni ya GSM ndiyo inayotarajiwa kuwekeza. Hata hivyo, wafanyabiashara tulikabidhiwa eneo hilo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Msimamo: Kwanini Kusimama Peke Yako Ndio Kipimo cha Mwisho cha Uadilifu na Uongozi

    Ndugu zangu wa JamiiForums, salaam, Kuna usemi mzito na usiochuja unaosema: "Ni lazima usimamie kile unachokiamini, na wakati mwingine inakulazimu kusimama pekee yako." Katika ulimwengu wa sasa—iwe ni kwenye siasa, maeneo ya kazi, au hata kwenye jamii zetu za kila siku—shinikizo la kufuata...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Utawala wa mmoja wa matapeli waovu na wenye kiu ya damu zaidi katika karne ya 21 hatimaye umefika mwisho.Kwa heri Netanyahu

    Wanaukumbi. 🇮🇱 NETANYAHU KUONDOKA TEL AVIV IMEANZA KUSHEREHEKEA Vituo vya kupigia kura vimefungwa. Tel Aviv imelipuka kwa sherehe za upinzani. Kulingana na matokeo ya kura, kambi ya Netanyahu imeshindwa kupata wingi wa kura. Upinzani na vyama vya Waarabu sasa vinaweza kuwa na nguvu ya kuamua...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini serikali nyingi zikitengeneza vikundi vya kujilinda, mauwaji na utekaji mwisho wa siku wanakuja wanageukana?

    Ukichunguza nchi ambazo zimepita kama sisi tulipo sasa na zikiendelea mwisho wa siku ndani ya kundi ilo wengine uchoka au kutaka nafasi ya watawala.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus, Sehemu ya Mwisho

    li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC). Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Kufungwa siyo Mwisho wa Mapambano

    Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa...
  16. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

    Familia Hivi nini hupelekea watu waliokaa kwenye ndoa miaka 20+ au 30+ kuachana? Huwa ni tabia za zamani ambazo mmoja wao alikuwa akijipa moyo na muda na kuvumilia akidhani tabia itarekebika? Nina mfano hai wa mama wa familia fulani Mume amempa talaka mke wake ambaye wameishi pamoja kwa...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tuachane na Maridhiano kwasababu yalishawahi kufanyika: vyama vikaruhusiwa kufanya siasa, ruzuku zikalipwa, kesi zikafutwa lakini mwisho ikawa hasara.

    Watanzania siyo wageni na kitu kinachoitwa maridhiano, kwa nature ya wanasiasa hawa tulionao, hakuna haja ya maridhiano kwasababu maridhiano yalishawahi kufanyika tukitegemea tutaona siasa za kizalendo, tulitegemea tutaona uzalendo wa kwelikweli kwa Taifa letu lakini cha ajabu wanasiasa wakaanza...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa Demokrasia duniani

    Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
  19. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Enyi sikio la kufa, nimewiwa nitoe codes kwa mara ya mwisho

    Habarini wanangu, wazee wenzangu,kaka zangu, wadogo zangu n.k huwa na uzee huu nilionao naumia mno nikiona watu hasa vijana na laymen wengine wakipewa taarifa za ungo. kwenye eneo lolote lile, naumia mno .....ipo hivii.. mimi nimeona mengi, nimepigana vita vingi na nimekwepa...
  20. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Siku Yangu ya Mwisho Huenda Ikawa Jumatatu!” Gavana Natembeya Amkaidi Rais Ruto, Aapa Kukabiliana na Serikali Kuu!

    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ameapa kutorudi nyuma katika mzozo wake na Rais William Ruto kuhusu miradi ya maendeleo kaunti hiyo, akisema yuko tayari kukabiliana na Serikali Kuu licha ya kile anachodai kuwa vitisho dhidi yake. Akizungumza huku mvutano kati yake na Rais...
Back
Top Bottom