Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu?
Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje?
Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want?
Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana kujibully wenyewe na kubully wengine
It's time to start living now, stop surviving