Tundu Lissu, Kufungwa siyo Mwisho wa Mapambano

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa

Mimi binafsi nauchukulia msimamo huu kama ni Uoga, kwani hata kama atafungwa kuna nafasi nyingine ya Kukata Rufaa na kesi kuamuliwa na Mahakama ya Rufaa (TCA) kitendo cha kugoma kula ni ishara ya Uoga wa kupambana na Matatizo na katika migomo ya Kula Magerezani kwa Tanzania hakuna aliyewahi kufanikiwa wengi wanagoma kwenda kuchukua Dona na maharage lakini wakifika kwenye cells zao usiku wanakula Maandazi na kunywa maziwa kugoma huwa ni vitisho tuu.

Nakushauri kwa sababu taangu uingie humo hujawahi kuona kaburi la mtu hiyo ni ishara tosha kuwa watu wanatoka hata ukifa ndugu zako watakabidhiwa Maiti yako. Nafahamu huko simu haziruhusiwi ila kama kuna mtu atausoma na kwenda kumtembelea Tundu Lissu mwambie namshauri asigome kula kwani atajisababishia matatizo mengine.

Tarehe 06 mapema sana nipo kwenye Viunga ya Mahakama Kuu Majisila ndogo ya Dar es Salaam, Uzi wa Kutiwa hatiani Tundu Lissu nitauleta mimi.
 
Omba yasikukute mkuu,akili inafika mwisho katika kufikiri.Mwenyezi Mungu afanye njia pasipo njia
 
Hii Dunia kila kitu ni fake ********,sasa Lissu anatesekq Kwa kosa gani,ila ipo siku isiyo na jina umma utaamua
Umma gani nyi MaK waoga tuu mtu taangu April 2025 yupo ndani unaongelea mambo ya Umma? Umma gani wakati uko busy JF?
 
Nimeanza kuusoma uzi nikidhani mtu aliyeandika atakuwa ni mwenye akili timamu. Kila nilivyoendelea kusoma na kuona upuuzi mtupu, nikaachia njiani, nijue aliyeandika, kuona tu ni Troll, nikajilaumu kupoteza muda wangu kusoma andika la mwendawazimu anayefahamika!!
 
KILICHOFANYKA NI KUONYESHA DUNIA NA WATAN9ANIA KWAMBA MAHAKAMA ZETU NI FUNCTIONLESS (KANGAROO COURT).Kama mahakama inaamuru alafu inapuuzwa kuna utawala wa sheria? tunaamini vp hukumu inayotolewa itakuwa ya haki? km hi tu ndogo inapuuzwa? HATUNA MAHAKAMA TANZANIA.
 
Eti ni uoga? Kwahiyo Lissu ni muoga ila wewe ni jasiri? Aliyoyapitia Lissu ingekuwa ni wewe si ungekuwa umeshakufa kitambo?
 
Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa

Mimi binafsi nauchukulia msimamo huu kama ni Uoga, kwani hata kama atafungwa kuna nafasi nyingine ya Kukata Rufaa na kesi kuamuliwa na Mahakama ya Rufaa (TCA) kitendo cha kugoma kula ni ishara ya Uoga wa kupambana na Matatizo na katika migomo ya Kula Magerezani kwa Tanzania hakuna aliyewahi kufanikiwa wengi wanagoma kwenda kuchukua Dona na maharage lakini wakifika kwenye cells zao usiku wanakula Maandazi na kunywa maziwa kugoma huwa ni vitisho tuu.

Nakushauri kwa sababu taangu uingie humo hujawahi kuona kaburi la mtu hiyo ni ishara tosha kuwa watu wanatoka hata ukifa ndugu zako watakabidhiwa Maiti yako. Nafahamu huko simu haziruhusiwi ila kama kuna mtu atausoma na kwenda kumtembelea Tundu Lissu mwambie namshauri asigome kula kwani atajisababishia matatizo mengine.

Tarehe 06 mapema sana nipo kwenye Viunga ya Mahakama Kuu Majisila ndogo ya Dar es Salaam, Uzi wa Kutiwa hatiani Tundu Lissu nitauleta mimi.
Tuombeane heri Mkuu, yupo katika matatizo makubwa.
Tuombee amani ya nchi yetu.
 
Umma gani nyi MaK waoga tuu mtu taangu April 2025 yupo ndani unaongelea mambo ya Umma? Umma gani wakati uko busy JF?
Hayo "Mak" umejumlisha kuanzia dada zako,shangazi zako na mama yako mzazi ndugu muhishimiwa?
NB;Unapoandika jambo jitahidi usiwe too emotional.Yatakurudi hata kama ni maandishi tu yasiyoweza kukushika mkono.
 
Sisi kwetu siyo wanaharakati ni raia watiifu so hawahusiki MaK ni wewe na ukoo wako
 
Ebu tupe sababu kwanza za lissu kugoma kula alizotoa yeye halafu tuzipime apa ama amemua tu bac agome ?
 
Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa

Mimi binafsi nauchukulia msimamo huu kama ni Uoga, kwani hata kama atafungwa kuna nafasi nyingine ya Kukata Rufaa na kesi kuamuliwa na Mahakama ya Rufaa (TCA) kitendo cha kugoma kula ni ishara ya Uoga wa kupambana na Matatizo na katika migomo ya Kula Magerezani kwa Tanzania hakuna aliyewahi kufanikiwa wengi wanagoma kwenda kuchukua Dona na maharage lakini wakifika kwenye cells zao usiku wanakula Maandazi na kunywa maziwa kugoma huwa ni vitisho tuu.

Nakushauri kwa sababu taangu uingie humo hujawahi kuona kaburi la mtu hiyo ni ishara tosha kuwa watu wanatoka hata ukifa ndugu zako watakabidhiwa Maiti yako. Nafahamu huko simu haziruhusiwi ila kama kuna mtu atausoma na kwenda kumtembelea Tundu Lissu mwambie namshauri asigome kula kwani atajisababishia matatizo mengine.

Tarehe 06 mapema sana nipo kwenye Viunga ya Mahakama Kuu Majisila ndogo ya Dar es Salaam, Uzi wa Kutiwa hatiani Tundu Lissu nitauleta mimi.
Roho za kichawi.
 
Back
Top Bottom