Enyi sikio la kufa, nimewiwa nitoe codes kwa mara ya mwisho

Enyi sikio la kufa, nimewiwa nitoe codes kwa mara ya mwisho

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
677
Reaction score
1,234
Habarini wanangu, wazee wenzangu,kaka zangu, wadogo zangu n.k
huwa na uzee huu nilionao naumia mno nikiona watu hasa vijana na laymen wengine wakipewa taarifa za ungo. kwenye eneo lolote lile, naumia mno
.....ipo hivii.. mimi nimeona mengi, nimepigana vita vingi na nimekwepa mishale mingi... hivyo nauja uhalisiawa maisha wa kweli,ambao wengi hawaujui... mara nyingi naishia kuwaangalia wanavyodanganyana na kukaa kimya tu..

wazee wenzangu,, tuache huu utamaduniwa kuwaficha vijana.tuwaeleze ukweli...kama ni kuchagua basi wachague wao.. hali inaumiza mno.. leo nitaongea baadhi ya mambo machache ambayo kijana na mtu yeyote hasa unayejitafuta,ukiyafahamu utajua uchague lipi nauende njia ipi sahihi...nimeamua nijitolee tu kwa uchche

1.kuna aina mbili za utajiri(si pesaya kula)..utajiri wa giza na wa nuru... utajiri wa nuru huja kwa njia mbili TU. huja unconditionally yaani bure bure tu bila kufanya lolote,ni Mungu tu anaamua kukupa. pia huja kwa kufanya kazikwa bidii sana.. na kwa muda mrefu..wengi hukata tamaa wakifikiri hawatoupata,hivyo huishia njiani.


pia kuna utajiri wa giza.. wengi kwa experince yangu wana huu utajiri... huu unakutaka uwe very active kutimiza matakwa ya uo upande uliokupa mali... huu ni wa siri na kama ni kwenye familia, basi ni wale choosen ones tu ndiyo wanatakiwa kujua siri ya utajiri wa familia nzima... wenginewanaweza kutumika kama kafara ikitakiwa hivyo. mfano.. anacahaguliwa mtoto mmoja anakuwa 'shoga'(kafara), au mtoto mwingine anauza madaw aya kulevya(kafara), au kama ni binti anakuwa msagaji(kafara), au kijana anakuwa muuaji au haoi(kafara, hapati kizazi kamwe). ni hivyo.


2. pia kuna kafara nyingi.. kwenye utajiri wa giza lazima ujue hayo... kafara hutolewa kulingana na kazi unayofanya (jueni hili)... kama ni rector wa chuo au head of department, moja ya kafara inaweza kuwa kusababisha wanafunzi fulani fulani(5,10 nk) wasio na hatia yoyote au makosa ya kinidhamu au kitaaluma kufeli na kushindwa kuendelea na masomo..

kama ni daktari... the same

vijana na wote, najua wazee wenzangu wananielewa vizuri mno.. usitaman mali ya mtu.. pambana upate yako.. usione watu wanafosi furaha...wanapitia mengi..

usijiingize kwenye makafara na stori za sijui zimbabwe na malawi kuna utajiri.. utakufa vibaya anagli unajiona. kwa hayo machache nadhani kuna vitu wapambanaji mtakuwa mmevipata.. nivile tu hitifaki nashindwa kutoa mifano ya waziwazi ya majina ya watu..upo msururu wa watu maarufu na wasio maarufu naufahamu.. ila siwezi kutaja hata kwa code, ni hatari kisheria kwangu pia..jueni tu hayo,siwezi kusema zaidia

cc Mshana Jr
 
pia kuna utajiri wa giza.. wengi kwa experince yangu wana huu utajiri... huu unakutaka uwe very active kutimiza matakwa ya uo upande uliokupa mali... huu ni wa siri na kama ni kwenye familia, basi ni wale choosen ones tu ndiyo wanatakiwa kujua siri ya utajiri wa familia nzima... wenginewanaweza kutumika kama kafara ikitakiwa hivyo. mfano.. anacahaguliwa mtoto mmoja anakuwa 'shoga'(kafara), au mtoto mwingine anauza madaw aya kulevya(kafara), au kama ni binti anakuwa msagaji(kafara), au kijana anakuwa muuaji au haoi(kafara, hapati kizazi kamwe). ni hivyo.
Kwa hiyo Mzee mwenzetu akina Mo, Akina Lugumi, akina Mwijaku na kina Rostam Azizi Wana aina hii ya Utajiri au huu ni kwa Sisi Tu akina kajamba Nani?
 
Binadamu hajawahi kutosheka kitu ukishakipata ubongo utaona cha kawaida tu ,utataka kile ambacho hauna.

Kuna watu wamechoka maisha ya kifahari nao wanatamani kuishi kama hadzabe
Ndio Maana kuna cartels Wana hela nyingi billions of billions lakini bado hawaridhiki wanaendelea kuteka na kuua watu ili wapate zaidi
 
Ukiwa na hela kiasi na uhuru ni bora kuliko hela nyingi ilihali upo kwenye vifungo, unakosa amani ya kweli.
Watu Wana hela lakini lazima watembeenna walinzi, kuonekana tunkwenye magari yao wanatembea usiku au wamejificha, na kubadili plate Number.

Sisi tukiwambia hawana Amani wanasema no wivu wa Sisi maskini🤣
 
Back
Top Bottom