Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.
Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club.
Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha.
Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
Waziri wa Nishati Dkt. Juma Homera ametangaza rasmi ugunduzi mpya wa Gesi Asilia yenye futi za ujazo bilioni 223 katika Kisima cha Kasa kilichopo Katika Kitalu cha Mnazi Bay Mkoa Mtwara.
Dkt. Homera amefanya uzinduzi huo leo Oktoba,27, 2026 na kusema kuwa hilo ni tukio kubwa katika maendeleo ya...
Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
Kinachoendelea huko Mbeya kimeonyesha hii ni version nyingine kabisa ya vijana waliojivua gamba la uoga
Gari za polisi zinaonekana kama ambulence, zinawasogelea wakidhani watakimbia ila hawana hofu kama tuliyozoea
Mikoa mingine kama Kigoma, Kagera, Rukwa, Singida, Iringa, Ruvuma, Tanga...
Mimi nikipita sehemu lazima watu watashtuka kidogo, na huwezi niangalia mara moja, utageuka tu mara ya pili, wote wanaume na wanawake. mwanzoni nilikua nashtukia lakini baada ya kujua ni muonekano wangu bas sasa nimeshazoea.
Na asio kua weupe unanibeba, hapana, ila kuna ile hali ya kua na...
Nchi za Ulaya zinapaswa kuondoa wahamiaji warudi kwao waache unafiki wa kutaka kuwaridhisha watu. Wimbi la uhamiaji limeharibu hizi nchi kitamaduni, kiuchumi na kila kitu.
Jambo lingine linalonishangaza, nenda mashariki ya kati, njoo afrika, ni vigumu eti ahamie mzungu hapa Tanzania aishi kiasi...
Habarini wanangu, wazee wenzangu,kaka zangu, wadogo zangu n.k
huwa na uzee huu nilionao naumia mno nikiona watu hasa vijana na laymen wengine wakipewa taarifa za ungo. kwenye eneo lolote lile, naumia mno
.....ipo hivii.. mimi nimeona mengi, nimepigana vita vingi na nimekwepa...
Na zaidi sana,
kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu, huchochea amani moyoni na utulivu wa akilini kitu ambacho hupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu mbalimbali ya kujitafutia kipato, kwa kua moyo na ubongo vina afya iliyoimarishwa baada ya kufanya mapenzi kwa...
Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa.
Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa...
Habari,
Nimeleta mada hii kwenu baada ya mama wa watoto wangu kunieleza hadharani kwamba hawezi fanya ujinga huo,
Mama wa watoto ameniambia wazi kwamba kubadili majina yake kwenye vyeti vyake kufuata majina ya koo yangu ni ujinga,
Hoja yake imenikwaza kwasababu binafsi nimeona ni kama...
Licha ya kufunguliwa Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Musoma Kesi ya Ardhi Namba 00000897 ya Mwaka 2026, Wananchi, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, lakini oparesheni iliyofanywa katika Kata ya Kisaka vijiji vya Bolenga Wilayani...
Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐
Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu.
Fikiria hivi…
Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu.
Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundu
tundu lisu
ujumbe
viongozi
viongozi wa chadema
wake
wao
wengi
wilaya
zao
Jiulize:-
Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini?
Mara ya mwisho kukumbatiana...
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.