mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 RC Mara aagiza kusakwa kwa Mbunge wa Mwibara, adai ni mtoro hajawahi kumuona

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza kutafutwa aliko Mbunge wa Jimbo la Mwibara Charles Kajege kufuatia Mbunge huyo kutohudhuria vikao vya kujadili maendeleo vya huo toka apate ridhaa hiyo ya ubunge kwa Jimbo hilo Mtambi amesema hajawahi kukutana na Mbunge huyo kwa kipindi chake...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Bilioni 42.166 kutumika matengenezo ya barabara mkoa wa Mara

    Serikali imeidhinisha matengenezo ya barabara za Mkoa wa Mara kwa jumla ya shilingi Bilioni 42.166 kwa mwaka wa fedha 2024-2025. Kauli hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi katika kikao cha bodi ya barabara mkoani humo ambapo amewataka watumishi wa taasisi zinazohusika na...
  3. Wakusoma 12

    Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
  4. Manfried

    Hawa ndo wazee wa comment za kinafiki zisizokuwa na mawazo mbadala kwenye mada

    Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu wabishi Inafurahisha Inasikitisha Pole
  5. T

    Pre GE2025 CHADEMA Mara yaunga mkono, No reform No election

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimetangaza msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi hadi pale masuala kadhaa yahusuyo haki na usawa wa uchaguzi yatakapotatuliwa. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Mashauriano la Chadema Mkoa wa Mara kilichofanyika wilayani Butiama...
  6. GENTAMYCINE

    Hivi Zaylisa anaposema kuwa Mumewe Haji Manara hajui Kukumbatia na huwa Wanagombana mara kwa mara juu ya hilo wanataka Kutulazimsha tuhisi nini labda?

    Amesikika katika Mtandao mmoja akilalamika sana hivyo ninaomba mnaokumbatiwa na mnaokumbatia mtueleweshe.
  7. mdukuzi

    Washabiki wa mpira nchini ni vilaza, Arajiga amewahi kufungiwa mara tatu

    Sijui ni ukilaza ujinga au?? 2022 alifungiwa 2020 alifungiwa 2019 alifungiwa Tena kuna mechi kati ya Yanga na Azam aliwabeba Yanga akafungiwa Acheni ujinga
  8. DiasporaUSA

    Fikiria mara 2 au zaidi kuhusu elimu kisha chukua hatua

    Ikiwa wazazi wako walikushauri uende chuo kikuu ili uweze kuhitimu, upate kazi nzuri na uishi maisha mazuri, walikukosea. Ikiwa unafikiri ulisoma chuo kikuu ili upate kazi nzuri, utachukizwa milele. Pia, hakuna kozi inayoitwa 'inayofaa sokoni'. Hiyo haipo. Kitu cha pekee kinachofaa sokoni ni...
  9. Cute Wife

    Kauli ya Ally Hapi ni ya kichochezi na uvunjifu wa amani, akemewe mara moja

    Wakuu, Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa. Kauli hii inazidi kukandamiza wapinzani na wananchi kwa ujumla kwenye uhuru wa kutoa maoni yao pale wanapoona...
  10. Beira Boy

    Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja Africa tunajiweza sana Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
  11. GENTAMYCINE

    Dada yangu na Poti Hamisa Mobeto ni lini utatuletea Shemeji yetu Azik K Mkoani Mara (Musoma) ili ale Kichuri na afundishwe pia kuwa na Hasira Kali?

    Halafu ilikuwaje katika Harusi yako ukanisahau kabisa Kunialika Mimi Kaka yako kutoka Mkoani Kwetu Mara kwa Wababe? ANGALIZO Tafadhali ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Mrangi, Mnyiramba, Muha, Mnyamwezi na Mkara kaa mbali na huu Uzi Okay?
  12. I

    Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  13. Chizi Maarifa

    Video: Saleh Jembe, Saleh Jembe, Saleh Jembe. Nimekuita mara tatu. Jiangalie

    Msikilize mwenyewe. Hii Nchi ishakuwa ngumu sasa.
  14. Cute Wife

    Kama mzazi angekua anaitwa kila unapozingua kazini mzazi wako angekuwa ameshaitwa mara ngapi mpaka sasa?

    Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂 Ila waalimu...
  15. Kinjekitile Jr

    Lissu nakusihi tena kwa Mara nyingine fukuza hawa Wapambe wa Mbowe na CCM,Usiwe na akili za Magufuli

    Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka wanapswa kufukuzwa Uanachama wawe wanapenda au hawapendi Kuna hawa watu wakiendelea kuwa ndani ya chama...
  16. D

    Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!! Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi...
  17. MwananchiOG

    Mara ya mwisho Simba kutwaa ubingwa wa Ligi hali ilikuwa hivi

    Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -; 1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza 2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM 3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi 4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa 5.Billnas alikuwa...
  18. F

    Video: Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano mzuri sana wa namba CCM inavyopaswa kutendewa.

    Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza watu hodari na wenye akili wa Nyamongo na ingekuwa vyema mno kama watu wa maeneo...
  19. Money Penny

    Unapata Ogasm mara ngapi kipa ukifanya tendo la ndoa?

    Ndio ivyo Swali lijibiwe kama lilivyoulizwa Au wewe orgasm yako ni pesa, ukipewa pesa ndio unaipata? Happy Valentines Day to you all
  20. Dasvidaniya

    Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
Back
Top Bottom