kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club.
Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua mtu. Kuna faida gani nyuma ya pazia?
Serikali msaidieni Mangungu dhidi ya fedha za mo dewj.