kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #21
Simba waliingia kwa mo kichwakichwa bila akili wa kutafakari wakati uleeee simba wanafungwa mfululizo na Yanga ya Yusuf Manji, wenye simba yao wakalewa pombe wakati Simba ya mo inaifunga Yanga mfululizo. Wakaanza kuamka usingizini wakati Yanga ya Hersi inaifunga mfululizo Simba ya mo. Wameanza kulala usingizi wa pono eti kwasababu simba imeifunga Yanga mechi moja.We ******** tu hujui lolote zuzu. Yani hiko kichwa chako kama makende ya mende ndio vilivyomo hivi..
Ndiyo maana Rage amewaita mashabiki wa simba mbumbumbu, na hata Mwina kaduguda nae kaliona hilo. Simba hawana watu wenye akili pana kama wenzao wa Yanga