yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club. Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huyu Kilaza kutwa kuiponda Yanga , tulishamdharau hana deal kwa sasa

  4. C

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Mangungu yupo kwenye payroll ya Yanga kutuvuruga Simba Sc

    Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko. Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha. Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga mfanyeni Aziz Ki awe kocha

    Ukocha ndiyo nadhani Aziz Ki anaupenda kuliko kuwa mchezaji wa Yanga. Matukio mengi ya Aziz ndani na nje ya uwanja yanaonesha anapenda zaidi kuelekeza wachezaji wenzake kuliko kucheza. Nasikia yeye na Manqoba walikuwa hawaivi kisa kufanya kazi ya ukocha badala ya uchezaji.
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

    Wazee Yanga ana kibalua
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Azam fc, Yanga, Simba na Singida zinabebwa na ufisadi/mafisadi

    Siku nchi ikirudi mikononi mwa wananchi, mpira wa Tanzania ambao umekua haraka kama uyoga, hakika utaporomoka. Wenye akili kubwa tu ndio watanielewa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wamtimua kocha Mangqoba.

  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

    Klabu ya Yanga imeamua kuvunja mkataba na kocha wake mkuu, Manqoba Mngqithi, kufuatia kukosekana kwa mwendelezo wa matokeo mazuri ya timu hiyo. Aidha, Yanga imevunja pia mkataba na kocha wake wa viungo, Chyna Mokaila. Kupitia taarifa yake, klabu hiyo imesema mchakato wa kumpata kocha mpya...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Yanga na Manqoba imeisha hiyooo

    TAARIFA KWA UMMA OKTOBA 24, 2026 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu umma kuwa umefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Mangoba Mngqithi. Vile vile, Uongozi wa Young Africans Sports Club umesitisha mkataba na Kocha wa Viungo wa timu ya kwanza...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

    Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege. Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima. Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
  13. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Wanateka, wanaua, wanachangia ujenzi wa kanisa, misa viti vya mbele,changia yatima, changia Simba na Yanga, kesho wanateka tena, wanaua tena

    Teka, ua, hubiri amani Teka, ua, changia ujenzi wa kanisa Teka, ua, jichomeke kwenye mipira Teka, ua, changia yatima Teka, ua, hakikisha media hazireport, teka, ua tena Jiteteeni mababu zenu hawakuipigania hii ardhi ili leo hatma ya uhai wenu uamuliwe na watu kadhaa
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

    Ukikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza. Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa...
  15. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

    Sisi hatuna wachezaji wetu Legends? Tuwakusanye nasi tufanye kama Mikia wanavyofanya. Inapendeza sana.
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Sumbawanga: Kilele Wiki ya Vijana, Kuzimwa Mwenge na Nyerere Day, Sumbawanga Kuchele!, Ila Rangi ni Yanga!, As If ni Tukio la Chama Flani!

    Wanabodi, Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day. https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k Karibuni Tufuatilie, Mzee Pasco Rejea; Hili la Vijana wa Chama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Yanga hatuna kocha !!!

    Sina Leseni Ya Ukocha Lakini Mpira Naujua Vizuri Tuu, Ukweli Ni Kwamba YANGA Hamna Kocha Pale, Mchizi Hana Mbinu, Mchizi Hajui Kuusoma Mchezo, Mchizi ndo Atakuwa Chanzo cha Yanga Kutofika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Africa, Halafu Mchizi Muda Wote Anafokafoka Tuuu. Na Nafikiri Viongozi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Yanga wamekopi mifumo ya siasa za nchi hii 100%Simba mkiwachekea watawachafua sana

    Sio jambo la ajabu kwenye siasa za nchi hii kuona mambo machafu ama meusi yakifanywa na upande wenye nguvu kisha zikatengenezwa propaganda ili washindani wao ndio wachafuke. Huu mfumo timu ya yanga imeukopi kwa asilimia mia moja na kuuleta kwenye mpira wa Tanzania tangu uongozi wa sasa kuwepo...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

    Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki. Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala. Azam...
  20. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

    Huyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga? Kama bado anasubiri nini? Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late. Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC. Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba...
Back
Top Bottom