Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki.
Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala.
Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi ya kipigo kikali kila Channel mpaka Sinema Zetu. Kwa hiyo unashindwa ukimbilie wapi?
Wito wangu kwa Yanga itoe Tamko kuhusu huku kusakamwa na Azam Tv.