bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,880
- 24,933
Kwani uligongwa na timu ipi kwenye ngao?Kwa timu hii hii mliyonayo?
Kwani uligongwa na timu ipi kwenye ngao?Kwa timu hii hii mliyonayo?
Ni swala la muda tu hili Mkuu.Tumewaachia kijiti
Pia malalamiko yao kwa refaree Ahmed Arajiga kwamba anaipendelea Yanga yameisha ghafla 😄Kwa hiyo toka 5imba mshinde ile kauli yenu ya kwamba mpira wa miguu hauna mvuto baada ya yale ya oktoba naniliu imeondoka. Si ndio.
Yaani. Utadhania wamechukua CCL. Lol.Msikini akipata
Na hata yule Mzee Mangungu wanaye muangushiaga jumba bovu safari hii wanamuona ni kiongozi boora kabisa.Pia malalamiko yao kwa refaree Ahmed Arajiga kwamba anaipendelea Yanga yameisha ghafla 😄
Safari hii watasema hajauza mechi. Mo anaidai timu, Tajiri anatoa pea siyo mbahili, katiba yao ya zamani haina shida hawaitaki mpya..😃Na hata yule Mzee Mangungu wanaye muangushiaga jumba bovu safari hii wanamuona ni kiongozi boora kabisa.
Hana baya. 😅
Umeona ee.Safari hii watasema hajauza mechi. Mo anaidai timu, Tajiri anatoa pea siyo mbahili, katiba yao ya zamani haina shida hawaitaki mpya..😃
Ni muda wa nyie sasa mpambanie katiba mpya😃Ni swala la muda tu hili Mkuu.
Mwasibu aziz ki yupo nakukumbusha tu.Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki.
Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala.
Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi ya kipigo kikali kila Channel mpaka Sinema Zetu. Kwa hiyo unashindwa ukimbilie wapi?
Wito wangu kwa Yanga itoe Tamko kuhusu huku kusakamwa na Azam Tv.
Andaeni gharama za Dialysis 😂😂😂Kwa simba hii mda si mrefu tutaumwa kisukari