Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

Kwa hiyo toka 5imba mshinde ile kauli yenu ya kwamba mpira wa miguu hauna mvuto baada ya yale ya oktoba naniliu imeondoka. Si ndio.
Mtanii utulie. Hivi huoni Mpare na Takadini wanafurushana huko??
Aloooh 😂😂😂😂
 
Yaani game ya tarehe 10 ndo nimejua maumivu wanayopitiaga wanasimba. Kila nikijaribu kujisahaulisha, inanijia chenga ya mpanzu mpaka kufunga goli la pili
Basi mie napentaaaaaaaaa!!!! 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom