Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

Kocha ambae hana kikosi cha kwanza, pia mpira unaochezwa wa hovyo hata hauvutii kuangalia

Hao wanaotoa pesa zao kwenda kuangalia mpira wana moyo wa kipekee
 
Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.

Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.

Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
😂😂😂 mkuu Yanga ina bonge la kocha nahata wachezaji wenu wako vizur hasa yule mliyemuiba kwenye kambi kule zenji vumilieni gari itachanganya tu mwendo
 
Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.

Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.

Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
Hilo la usajili wa hovyo ndio msingi wa kila kitu..hata aje kocha wa viwango lakini wachezaji wabaya..hawezi kufanya maajabu
 
Tatizo Viongozi wa Yanga wamelewa sifa, na hawasikilizi mashabiki. Labda tuwaachie washabikie wao, maana sio Kwa ubishi huu.
 
Back
Top Bottom