Shida ni makocha.Kila kocha anaekuja anaonekana mbaya aisee tutafukuza makocha wangapi? hatuna hata kicha aliekaa misimu miwili au zaidi. Shida ni kweli makocha ama makocha wanabebeshwa makosa ya wengine??
Kilichobaki ni malalamiko kwa uongozi wa TFF na wizara.Ohooo kushakucha, kelele za vyura zishaanza.
Usajili unafanywa na wanasiasa lawama anapewa kocha.Kila kocha anaekuja anaonekana mbaya aisee tutafukuza makocha wangapi? hatuna hata kicha aliekaa misimu miwili au zaidi. Shida ni kweli makocha ama makocha wanabebeshwa makosa ya wengine??
Makocha wanabebeshwa makosa ya wengine.Kila kocha anaekuja anaonekana mbaya aisee tutafukuza makocha wangapi? hatuna hata kicha aliekaa misimu miwili au zaidi. Shida ni kweli makocha ama makocha wanabebeshwa makosa ya wengine??
Niliuona. Nilishangaa pia kuona uwanja mbovu vile kuruhusiwa kutumika kwa michezo ya Ligi kuu. Na yenyewe inaweza kuwa sababu.Hata kama yanga imeshuka kiwango ila si kwa uwanja ule, uwanja mbovu hauruhusu mchezaji kuonesha ufundi, hata makolo hawana uwezo wa kucheza mpira mzuri kwenye uwanja ule.
Sema ule uwanja ni mbovu kweli kweli. Inaonekana hata kumwagiliwa ni changamoto.Niliuona. Nilishangaa pia kuona uwanja mbovu vile kuruhusiwa kutumika kwa michezo ya Ligi kuu. Na yenyewe inaweza kuwa sababu.
Boniface Mkwasa (MASTER)!Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.
Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.
Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
Waufungie sasa. Ni aibu kuruhusu uwanja mbovu kama ule kutumika kwa ajili ya mechi za ligi kuu.Sema ule uwanja ni mbovu kweli kweli. Inaonekana hata kumwagiliwa ni changamoto.
Kamuuza Okelo kamrudisha Azizi Key the flop,au hapo alikua sawa?Kakosea wapi?
Ndio boli letu kivyetuvyetu.Kilichobaki ni malalamiko kwa uongozi wa TFF na wizara.
Punde utawasikia wanaonewa