Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.

Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.

Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
Hakuna shida....
You can't be up always...
 
Hilo la usajili wa hovyo ndio msingi wa kila kitu..hata aje kocha wa viwango lakini wachezaji wabaya..hawezi kufanya maajabu
Watu watalaumu bure makocha wakati injinia saiv analeta wachezaji ambao hawana quality
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mwakelebela sijui yuko wapi yule mzee
Dah alipitia nyakati ngumu kama hizi simba ilivochukua back to back
 
Mkuu usimseme huyo,mashabiki wake watakubonda manake sio kwa vyenye alivyowabrainwash wanavyomkubali,wanaamini hakosei yupo sahihi kwa kila kitu
 
Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.

Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.

Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk
Wana Yanga tupo pamoja na kocha la boli....
 
Mimi ni shabiki wa Yanga na pia nina taaluma ya ukocha. Kwa mtazamo wangu kuna shida ndani ya kikosi cha wananchi. Kwa ufupi fighting spirit ya wachezaji imeshuka sana. Shida ni nini? Mimi sijui.

Kocha naye nikimuangalia namuona haeleweki! Timu ina wachezaji wengi wazuri. Ila namna ya kuwatumia ili kupata matokeo ndiyo haelewi. Kuna wakati hata sub zake watu walizilalamikia kwa kukosa tija.

Kwa upande wa simba wanajivunia kocha wao Steve Barker. Jamaa ameibadilisha timu kiasi cha mashabiki kupunguza zile kelele zao za miaka yote za kumkataa Mangungu.
 
😂😂😂 mkuu Yanga ina bonge la kocha nahata wachezaji wenu wako vizur hasa yule mliyemuiba kwenye kambi kule zenji vumilieni gari itachanganya tu mwendo
Hahahahaha haya ndo mambo nayopenda apitie mtani uto
 
Mimi ni shabiki wa Yanga na pia nina taaluma ya ukocha. Kwa mtazamo wangu kuna shida ndani ya kikosi cha wananchi. Kwa ufupi fighting spirit ya wachezaji imeshuka sana. Shida ni nini? Mimi sijui.

Kocha naye nikimuangalia namuona haeleweki! Timu ina wachezaji wengi wazuri. Ila namna ya kuwatumia ili kupata matokeo ndiyo haelewi. Kuna wakati hata sub zake watu walizilalamikia kwa kukosa tija.

Kwa upande wa simba wanajivunia kocha wao Steve Barker. Jamaa ameibadilisha timu kiasi cha mashabiki kupunguza zile kelele zao za miaka yote za kumkataa Mangungu.
Hata kama yanga imeshuka kiwango ila si kwa uwanja ule, uwanja mbovu hauruhusu mchezaji kuonesha ufundi, hata makolo hawana uwezo wa kucheza mpira mzuri kwenye uwanja ule.
 
Back
Top Bottom