Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Sisi hatuna wachezaji wetu Legends? Tuwakusanye nasi tufanye kama Mikia wanavyofanya. Inapendeza sana.
Fatma kafanya kwa ajili ya simba , na kina chozungumzwa happ ni simbaKwani hiyo ni ishu ya simba au ni ya Fetma?
Hamna klabu inayoenzi legend wake kuizidi YangaJulio Kila siku anasema yanga inampa heshima kuliko Simba
Ushindi wa juzi umeleta shida sana mtandaoniHamna klabu inayoenzi legend wake kuizidi Yanga
Tulia sindano iingie.!Hako ka ushindi Ka juzi kameibua panya wengi kwenye mashimo
makolo hawajawahi kupoa,wakifungwa wameonewa,wakishinda wanajua,wakizidiwa points GSM anaharibu ligi,wakifanya vzr anasifiwa mo wakifanya vibaya wanataka mangungu awaachie timu yao,rage aliwaita mbu3 hao jamaaUshindi wa juzi umeleta shida sana mtandaoni