Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

makolo hawajawahi kupoa,wakifungwa wameonewa,wakishinda wanajua,wakizidiwa points GSM anaharibu ligi,wakifanya vzr anasifiwa mo wakifanya vibaya wanataka mangungu awaachie timu yao,rage aliwaita mbu3 hao jamaa
Team inaongozwa na zubeda na fatuma unategemea nn zaidi ya umandonga
 
makolo hawajawahi kupoa,wakifungwa wameonewa,wakishinda wanajua,wakizidiwa points GSM anaharibu ligi,wakifanya vzr anasifiwa mo wakifanya vibaya wanataka mangungu awaachie timu yao,rage aliwaita mbu3 hao jamaa
Sasa hivi GSM ameacha kuharibu ligi yaani mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Back
Top Bottom