Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.

Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.

Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?

chadema inaelekea wapi?
 
Wewe ni Nani Hadi umbishie Hilda Kuwa jamaa wengi mle hawana mbupu?
 
Wewe unaelekea wapi ? Mpumbavu mmoja
Nauona mpasuko mkali vibaya sana. Wafu wanataka kuzikana. Heche, Hilda, mange, sarungi na wenye mapumbu ni chadema diaspora (ngumi mkononi) na wengine wasio na mapumbu ni chadema Tanzania (dialogue).

Hilda sio mjinga, huenda anao uhakika kuwa hawanayo kweli.
 
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.

Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.

Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?

chadema inaelekea wapi?

Nadhani unachanganya ujasiri wa kisiasa na lugha za kejeli. Kwanza, kuwaheshimu na kushirikiana na wanaharakati kama Mange, Sarungi na Hilda hakukuwa udhaifu wa CHADEMA, bali ilikuwa ni sehemu ya kujenga nguvu ya umma na kupanua wigo wa mapambano ya kisiasa. Pili, Mnyika na Nshala hawawezi kupimwa kwa vigezo vya matusi au kauli za mitandaoni; wanapaswa kupimwa kwa wajibu, maamuzi na mchango wao ndani ya chama. Kuhusu Heche kukaa kimya, huwezi kuhitimisha kwamba anakubaliana na Hilda kwa sababu tu hajatoa kauli. Huo ni ni mtazamo wako, si ushahidi. Na jambo la msingi zaidi, kama viongozi wa CHADEMA wamekosea, tujadili makosa yao, mikakati yao na uwajibikaji wao badala ya kutumia lugha za kudhalilisha. Siasa si mashindano ya nani ana makelele mengi, bali nani ana hoja, msimamo na uwezo wa kusimamia taasisi.
 
Unajisumbua bure. Maandiko yako hayawezi kuisambaratisha CHADEMA. Nenda ukaoshe miguu ya bi Eda
 
Mimi ni ccm mwenzako chini ya jemedari Samia suluhu (PhD) ila huu ulioandika ni upumbavu.

Kwahiyo kiongozi ajibu kilakitu hata vitu vya *******?
 
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.

Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.

Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?

chadema inaelekea wapi?
hearsay tu... nawe unaamini? uthibitisho wa hilda kusema hayo upo wapi???
 
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.

Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.

Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?

chadema inaelekea wapi?
Weka source
 
Silence is the best answer to stupid questions.
 
Nadhani unachanganya ujasiri wa kisiasa na lugha za kejeli. Kwanza, kuwaheshimu na kushirikiana na wanaharakati kama Mange, Sarungi na Hilda hakukuwa udhaifu wa CHADEMA, bali ilikuwa ni sehemu ya kujenga nguvu ya umma na kupanua wigo wa mapambano ya kisiasa. Pili, Mnyika na Nshala hawawezi kupimwa kwa vigezo vya matusi au kauli za mitandaoni; wanapaswa kupimwa kwa wajibu, maamuzi na mchango wao ndani ya chama. Kuhusu Heche kukaa kimya, huwezi kuhitimisha kwamba anakubaliana na Hilda kwa sababu tu hajatoa kauli. Huo ni ni mtazamo wako, si ushahidi. Na jambo la msingi zaidi, kama viongozi wa CHADEMA wamekosea, tujadili makosa yao, mikakati yao na uwajibikaji wao badala ya kutumia lugha za kudhalilisha. Siasa si mashindano ya nani ana makelele mengi, bali nani ana hoja, msimamo na uwezo wa kusimamia taasisi.
Taasisi isiyolinda hadhi ya viongozi wake ni taasisi isiyokuwa na hadhi. Taasisi isiyokuwa na utamaduni wa kuvumilia hoja mbadala ni taasisi legelege. Na taasisi yenye wajumbe wanaotumia matusi badala ya hoja kuonyesha kutofautiana ndani ya taasisi ni taasisi isiyokuwa na malengo. Taasisi isiyokuwa na mkemeaji mkuu ni taasisi ya wavulana/watoto.
 
Hadhi hailindwi kwa kuzuia ukosoaji. Inalindwa kwa kuheshimu taratibu na misingi ya chama. Makosa ya viongozi wachache si makosa ya taasisi nzima,
Kutofautiana si udhaifu. Ni sehemu ya demokrasia. Muhimu ni kuheshimu katiba na taratibu za chama.

Kuhusu matusi: Matusi ni makosa ya mtu binafsi. Vyombo vya nidhamu vina wajibu wa kuyashughulikia. Huwezi kuhukumu chama kizima kwa tabia ya mtu mmoja.
Kuhusu mkemeaji: CHADEMA ina viongozi na vyombo vya maamuzi. Kama kuna uzembe, taja nani ameshindwa kutekeleza wajibu wake. Usihitimishe kwamba hakuna mfumo.

Kuhusu migogoro: Migogoro haipo CHADEMA pekee. Kila taasisi inaweza kukutana nayo. Muhimu ni namna inavyotatuliwa.

Kuhusu ukosoaji: Kukosoa ni haki. Lakini ukosoaji unahitaji ushahidi. Tuhuma bila ushahidi si uchambuzi.

Kuhusu umoja: Umoja si kufanana kwa mawazo. Wanachama wanaweza kutofautiana na bado wakawa na lengo moja.

Kuhusu taasisi: CHADEMA ni taasisi, si mtu mmoja. Viongozi wanakuja na kuondoka. Taasisi inaendelea. Usichanganye makosa ya mtu na misingi ya chama.

Kama unaona CHADEMA ina mapungufu, yaweke wazi kwa ushahidi. Taja tatizo, wahusika na suluhisho. Lakini usitumie tofauti za mawazo kama ushahidi wa kukosa hadhi, malengo au uongozi. Tofauti ya mawazo si mwisho wa taasisi, ni sehemu ya maisha ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom