hawana

Yajna (Sanskrit: यज्ञ, romanized: yajñá, lit. 'sacrifice, devotion, worship, offering') refers in Hinduism to any ritual done in front of a sacred fire, often with mantras. Yajna has been a Vedic tradition, described in a layer of Vedic literature called Brahmanas, as well as Yajurveda. The tradition has evolved from offering oblations and libations into sacred fire to symbolic offerings in the presence of sacred fire (Agni).Yajna rituals-related texts have been called the Karma-kanda (ritual works) portion of the Vedic literature, in contrast to Jnana-kanda (knowledge) portion contained in the Vedic Upanishads. The proper completion of Yajna-like rituals was the focus of Mimansa school of Hindu philosophy. Yajna have continued to play a central role in a Hindu's rites of passage, such as weddings. Modern major Hindu temple ceremonies, Hindu community celebrations, or monastic initiations may also include Vedic Yajna rites, or alternatively be based on Agamic rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa vile wakipotezwa, wakitekwa hawana wa kuwapigania wakae pembeni sote tuwe wapenzi watazamaji - duniani tunapita tu

    Huu ni ushauri uliojaa masikitiko na majonzi ndani yake. Machozi pekee hayatoshi kuwatia moyo, post za mitandaono hazitoshi kuwarudisha wanapotekwa, wanapopotezwa Yule aliyekuwa wakwao, alipoanza kuwaambia ukweli, wakamgeuka, wakamuwinda mwisho waliokuwa karibu yake wakachora ramani tukaishia...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Wanaharakati hawana mpango au mkakati wowote mwenzao akitekwa wao wafanyeje? Kanuni za Tibeli: NEVER PLAY THE VICTIM

    Hamjambo! Kuna mtu anaweza kujiuliza mambo haya yataisha lini? Niliwahi andika hapa, Kanuni ya auaye kwa upange atakufa kwa upanga sio universal law. Hiyo ni kanuni ya Wayahudi na Mungu Wai aitwaye Yehova. Niliandika kwamba Isije ikatokea Ukafanyiwa uhuni huko ukadhani Mungu(usiyemjua)...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

    Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe.. Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana. Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote...
  6. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Hawa tumewachapa goals chache sana ni 3. Wetu hawa hawana team

    Ni suala la muda tu. Hawa wanapigika vizuri sana. Hawana team. Kama wamekuwa wakiisikia sikia Yanga kiboko cha Simba ndo leo wamekutana nayo sasa.. Yaani bao chache sana ni 3. Nipo hapa
  7. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

    Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuficha ID kwenye JF; unaweza kukuta Erythrocyte ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah lakini hawana habari, sasa siku wajikua!

    NImewaza sana. Hizi ID tunazotumia humu Jf hata wake au waume zetu hawajui, achilia mbali michepuko. Sasa unaweza kukuta humu JF unachukizana na mtu kumbe ni mke, mume au mchepuko wako! Si ajabu ukakuta Erythrocyte wa Chadema ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah wa CCM! Kimbembe ni siku...
  9. Wauzaji wa Container Tz

    JamiiForums Tanzania Wajomba zako, ndugu hawajakunyima connection, hizo lawama ni za bure, kumbuka hawana kampuni, kiwanda wala biashara yoyote iliyosimama

    Wajomba zako , ndugu n.k hawajakunyima connection hizo lawama ni za bure , kumbuka hawana kampuni ,kiwanda wala biashara iliyosimama. Mara nyingi vijana, wanalaumu sana ndugu , wajomba n.k Ila ukifatilia MTU anayelaumiwa ni MTU asiye na potential hana uwezo wa kushawishi maamuzi yoyote. Hana...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maafisa wa LATRA Morogoro wanalazimisha nilipe Faini kwa cash au Lipa Namba, eti hawana Control Number

    Naomba ufafanuzi kutoka LATRA, juzi nilikamatwa na LATRA sijalipia Pikipiki yangu lakini wakati naomba Control Number wanasema natakiwa kulipa faini kwanza ambayo ni Sh 15,000 lakini cha ajabu hiyo faini hupewi Namba ya Malipo wanataka cash. Tukio lilitokea Morogoro sehemu moja inaitwa Kiroka...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba tunaambiwa hawana mpango wa kulipa Fedha za Kujikimu

    Huku kwetu pesa za kujikimu watu wana miaka 11 hawajalipwa. Majibu ni watalipa watakapokuwa tayari. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza. Ni majibu ya Afisa Utumishi, na hata leo tu limetoka jibu la kutuvunja kabisa moyo, kuwa watalipwa ajira mpya kuanzia sasa, hamna fungu kwa ajili...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM hawana Mifumo ya kulinda Viongozi wao wa Juu. Je, Samia Suluhu na Mwigulu wanalindwa kweli?

    Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi? Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini washiriki na washindi wa urembo (u miss) wote wa Tanzania hawana makalio makubwa?

    Washiriki na washindi wote wa mashindano ya u-miss Tanzania hawana makalio makabwa na ni wembamba. Je kutokuwa na makalio makubwa ni kigezo kimojawapo cha kushiriki mashindano ya urembo au wanawake wenye makalio makubwa na wanene kuna vigezo wanakosa vya kushiriki mashindano ya urembo ?
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya SprinyTZ inakataa kutulipa ikidai hatujafanya kazi, mikataba hatujarudishiwa na NSSF hawalipi

    Habari, Kuna kampuni inaitwa SprinyTz, iliyopo Makumbusho, Derm House, ghorofa ya tano. Kampuni hiyo inajihusisha na usambazaji wa huduma za fiber. Ilitangaza nafasi za kazi, tukatuma maombi na tarehe 1 Septemba tukaanza kazi. Kampuni ilituajiri na kutuahidi kwenye mikataba kwamba ingetulipa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  16. idiomer

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Zogowale, Kata ya Misugusugu Kibaha Walimu hawana ofice wapo zaidi ya 50 viti havizidi 15

    Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha. Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa ya Kibaha wameshindwa kabisa kuhamasisha wadau na viwanda vilivyopo eneo hilo kuchangia kuboresha...
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania MJUE MWENZI WAKO:- Watu hawa wenye damu AB- ni ngumu sana kuwajua kwa kina, ni wabaridi sana, hawana ladha kabisa.

    Watu wenye kundi la damu la AB- ni miongoni mwa watu nadra sana duniani (chini ya 1% ya idadi ya watu wote). Katika mifumo ya saikolojia na utamaduni wa tabia za makundi ya damu (kama vile Ketsuekigata), watu hawa huchukuliwa kuwa na sifa za kipekee zaidi kutokana na nadra yao na mchanganyiko wa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wauza Chips hutumia tomato sauce nyepesi ya majimaji tu na huwa hawana ile nzito (ketchup)?

    Kwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu? Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana hadi zinaoza kiholela! Inakuaje wauza Chips wanaona tomato ketchup ni anasa?!
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania 80% ya vijana Tanzania wenye miaka 35 hawana akiba ya kueleweka, hawana ardhi au asset yoyote na hawajajenga nyumba ya kuishi

    Source: Tomato Sauce Uchumi wa Mandoo ndooo
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine. Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni...
Back
Top Bottom