Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini?
Unaathirika vipi?
Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana?
Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine.
Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni ujinga kupigana na upepo.
Kadri mnavyojifanya kupinga ushoga ndipo mnaupa promo.
Ni maskini pekee ndiye anajivika vazi la unafiki kupinga kitu ambacho yeye hakimwathiri.
Kama mtu havunji haki za watu wengine kuna tatizo?
Kutwa kutwa kwenda kukanyaga mafuta kwa Mwamposa, mara kwenda kwa waganga, wengine mnafira wanawake na wanawake wengi tu Tanzania wanafirwa lakini hao hao wanajifanya kupinga ushoga.
Ni mtu asiye na dhambi pekee ndiye ana haki ya kukemea ushoga au dhambi zingine.
Leo hii mnajengewa vyoo mashuleni watoto wenu huko shule wasinye porini. Mngekuwa mna akili si mngejenga wenyewe, hao mashoga au hao waliopuuza sauti za ushoga ndio wanawapa misaada.
Mngekuwa mnapendwa na Mungu asingeacha kuwapa akili za kutumia rasilimali zenu.
Kijana anaacha madini chini kijijini kwao anakuja Dar kutumwa kwa mshahara wa laki 3. Kijana anaacha ardhi yenye rutuba anakuja Dar kuendesha boda boda. Yet anajifanya anakemea ushoga badala ya kukemea pepo kichwani mwake.
Am not gay.
 
Machoko wanaibuka kila kona na kuja na mada za kinyumenyume

YBWYB

1790520826933.png
 
Wewe ni mkuu wa mashoga
 
You better watch your back, njia ile ni ya kutolea tu na si kuingiza. Assume wakikuingizia zitaenda kufanya nini huko ndani?
 
Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini?
Unaathirika vipi?
Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana?
Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine.
Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni ujinga kupigana na upepo.
Kadri mnavyojifanya kupinga ushoga ndipo mnaupa promo.
Ni maskini pekee ndiye anajivika vazi la unafiki kupinga kitu ambacho yeye hakimwathiri.
Kama mtu havunji haki za watu wengine kuna tatizo?
Kutwa kutwa kwenda kukanyaga mafuta kwa Mwamposa, mara kwenda kwa waganga, wengine mnafira wanawake na wanawake wengi tu Tanzania wanafirwa lakini hao hao wanajifanya kupinga ushoga.
Ni mtu asiye na dhambi pekee ndiye ana haki ya kukemea ushoga au dhambi zingine.
Leo hii mnajengewa vyoo mashuleni watoto wenu huko shule wasinye porini. Mngekuwa mna akili si mngejenga wenyewe, hao mashoga au hao waliopuuza sauti za ushoga ndio wanawapa misaada.
Mngekuwa mnapendwa na Mungu asingeacha kuwapa akili za kutumia rasilimali zenu.
Kijana anaacha madini chini kijijini kwao anakuja Dar kutumwa kwa mshahara wa laki 3. Kijana anaacha ardhi yenye rutuba anakuja Dar kuendesha boda boda. Yet anajifanya anakemea ushoga badala ya kukemea pepo kichwani mwake.
Am not gay.
Matokeo ya CCM kuvuruga nchi haya. Wameua elimu na uwezo wa kufikiri. Unatengeneza janga likija unalaumu?
 
Tabia zote mbaya huwa zinakemewa, sio lazima ziwe zinakuhusu wewe moja kwa moja. Na pia sisi tuna watoto ambao kama usipokemea tabia kama hizo kwa kudai hazikuhusu, kesho ukimkuta mtoto wako anafanya bado utasema hainihusu?
 
Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini?
Unaathirika vipi?
Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana?
Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine.
Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni ujinga kupigana na upepo.
Kadri mnavyojifanya kupinga ushoga ndipo mnaupa promo.
Ni maskini pekee ndiye anajivika vazi la unafiki kupinga kitu ambacho yeye hakimwathiri.
Kama mtu havunji haki za watu wengine kuna tatizo?
Kutwa kutwa kwenda kukanyaga mafuta kwa Mwamposa, mara kwenda kwa waganga, wengine mnafira wanawake na wanawake wengi tu Tanzania wanafirwa lakini hao hao wanajifanya kupinga ushoga.
Ni mtu asiye na dhambi pekee ndiye ana haki ya kukemea ushoga au dhambi zingine.
Leo hii mnajengewa vyoo mashuleni watoto wenu huko shule wasinye porini. Mngekuwa mna akili si mngejenga wenyewe, hao mashoga au hao waliopuuza sauti za ushoga ndio wanawapa misaada.
Mngekuwa mnapendwa na Mungu asingeacha kuwapa akili za kutumia rasilimali zenu.
Kijana anaacha madini chini kijijini kwao anakuja Dar kutumwa kwa mshahara wa laki 3. Kijana anaacha ardhi yenye rutuba anakuja Dar kuendesha boda boda. Yet anajifanya anakemea ushoga badala ya kukemea pepo kichwani mwake.
Am not gay.
Sasa umetuletea umaskini mkubwa zaidi wa huu uzi wako ni bora ungeendelea kula kiyoyozi tajiri
 
Aiseeee naomba BAKWATA wasimamie hili jambo
 
Attachments

  • downloadfile(9).jpg
    downloadfile(9).jpg
    92.1 KB · Views: 10
Astaghfirurallah... Astaghfirurallah... Astaghfirurallah kama mchanga wa bahari..Subhanaah wataallah...! Wewe unafikiri Juma na Salum wanawafundisha nini watoto waliotoka kwenye viuno vyetu! Nendeni Mars mkafanye mtakavyo ila sio hapa! Maaaninah zako.
 
Mwanaume unakuwa vipi ***** babu hata kama utasema ni akili za kimaskini kuongelea machoko.Ujue huwa sielewi yani wanawake walivyokuwa wazuri hivi unaamua kuwa punga sawa bhana ni haki yenu enjoy ******* nyie.
 
Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini?
Unaathirika vipi?
Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana?
Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine.
Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni ujinga kupigana na upepo.
Kadri mnavyojifanya kupinga ushoga ndipo mnaupa promo.
Ni maskini pekee ndiye anajivika vazi la unafiki kupinga kitu ambacho yeye hakimwathiri.
Kama mtu havunji haki za watu wengine kuna tatizo?
Kutwa kutwa kwenda kukanyaga mafuta kwa Mwamposa, mara kwenda kwa waganga, wengine mnafira wanawake na wanawake wengi tu Tanzania wanafirwa lakini hao hao wanajifanya kupinga ushoga.
Ni mtu asiye na dhambi pekee ndiye ana haki ya kukemea ushoga au dhambi zingine.
Leo hii mnajengewa vyoo mashuleni watoto wenu huko shule wasinye porini. Mngekuwa mna akili si mngejenga wenyewe, hao mashoga au hao waliopuuza sauti za ushoga ndio wanawapa misaada.
Mngekuwa mnapendwa na Mungu asingeacha kuwapa akili za kutumia rasilimali zenu.
Kijana anaacha madini chini kijijini kwao anakuja Dar kutumwa kwa mshahara wa laki 3. Kijana anaacha ardhi yenye rutuba anakuja Dar kuendesha boda boda. Yet anajifanya anakemea ushoga badala ya kukemea pepo kichwani mwake.
Am not gay.
Jina la Samia limepatwa.

Usiombe wakafira mtoto wako.
 
Back
Top Bottom